TANZIA Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad afariki dunia

Sio tetesi tena, ni kweli. Rais Mwinyi ametangaza rasmi.
 
R.I.P Maalim Seif.
Poleni Wazanzibar.
 
RIP maalim, umoja wa kitaifa zanzibar ulikiwa ndoto yako lazima tuuenzi.
 
Nani atarith kile kiti cha umakam wa kwanza sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…