Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwa mujibu wa mkataba wa kimataifa wa Montevideo ili dola liwe huru lazima liwe na uwezo wa kuingia mikataba ya kimataifa.
Kwenye katiba ya JMT, mambo ya nje ni suala la muungano hivyo Zanzibar haipaswi kushiriki masuala ya nje bila kuihusisha wizara ya mambo ya nje ya muungano.
Kitendo cha Makamu wa Rais wa Zanzibar kutumia ofisi ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kutuma salamu ni kuvunja Katiba. Maana Act wazalendo ni sehemu ya serikali ya Smz ambayo ipo chini ya JMT.
Tukumbuke kuwa Zanzibar hakuna dola huru bali kuna serikali ya mapinduzi Zanzibar.