Makamu wa kwanza Zanzibar amekiuka kumpongeza mshindi wa urais Zambia. Zanzibar sio dola huru mbele ya uso wa kimataifa

Sovereignty resides in the hands of Tanzania.
 
Mwache awapongeze ni wapinzani wenzie! Kaona CCM imepata kigugumizi!
 
Kama ni lawama zipeleke kwa bosi wake kwanza. Yeye ndio alianza kutoa salam za pongezi jana. Inamaana Dr Mwinyi hajui kama Zanzibar sio dola kamili?

Kama ni lawama zipeleke kwa bosi wake kwanza. Yeye ndio alianza kutoa salam za pongezi jana. Inamaana Dr Mwinyi hajui kama Zanzibar sio dola kamili?

Umeona nembo ya Smz? Niaba ya wakazi wa Zanzibar sio Smz.
 
Sawa kabisa. Makamu wa rais zanzibar hakupaswa kufanya alichokifanya. Hiyo ni shughuli ya jamhuri ya muungano wa tanzania. Inabidi aonywe vinginevyo tutarudia vurugu zile zilizopelekea hadi zanzibar kujiunga mashirika ya kimataifa kama ois kitu ambacho ni stahiki pekee ya serikali ya jamhuri ya muungano.
 
sikujua kumbe kuna tofauti kati ya Nchi na Dola..

Maana kwenye katiba yao inatamka wazi kabisa kwamba "Zanzibar ni NCHI".
 
mtu yoyote yuko huru kutuma Salaam za pongezi popote kwa kutumia headed paper yake!.
P
Headed paper yake inakuwa na jina lake sio cheo Cha kiserikali yeye katumia headed paper yenye nembo na cheo Cha kiserikali

Pili hakuandika kininafsi Soma paragraph ya pili uone anaongea Kama msemaji wa serikali ya Zanzibar bila hata haya!!!

Paragraph ya pili ndio inaonyesha wazi makosa yake
 
Mkuu Pascal headed paper yenye nembo ya SMZ ni mali binafsi ya Osman Masoud?
Ni mali ya serikali, Samia anaweza kutuma salamu za pongezi za serikali, Spika akatuma za bunge, Mwinyi akatuma za rais wa Zanzibar, Makamo nae akatuma zake za makamo.
P
 
Weye = Wewe
 
Ni mali ya serikali, Samia anaweza kutuma salamu za pongezi za serikali, Spika akatuma za bunge, Mwinyi akatuma za rais wa Zanzibar, Makamo nae akatuma zake za makamo.
P
Yeye katuma salamu kama serikali

Soma headed paper kumeancikwa vice president's office siyo home! Ni office.Ina maana office ya vice president ndio imeandika hiyo barua sio yeye binafsi!!!

Na paragraph ya pili ya hiyo barua ndio kabisa kaandika utafikiri yeye ndie Raisi wa Zanzibar!!!
 
Ni mali ya serikali, Samia anaweza kutuma salamu za pongezi za serikali, Spika akatuma za bunge, Mwinyi akatuma za rais wa Zanzibar, Makamo nae akatuma zake za makamo.
P
[emoji848][emoji848][emoji848]kwahiyo makamo Mpango nae ruhksa kutumia Salam za pongezi na headed paper ya magogoni?? Naomba unijibu P

Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
 
Hili ni kosa kubwa kidiplomasia. Kwanza mambo ya nje ni suala la kimuungano na siyo la SMZ. Pili yeye kiitifaki hata kama Zanzibar ingekuwa ni nchi nje ya muungano hastahili kumtumia salaam Rais wa nchi nyingine. Hilo angeachiwa Rais wa Zanzibar. Rais Hichilema siyo counterpart wake.
 
Ni mali ya serikali, Samia anaweza kutuma salamu za pongezi za serikali, Spika akatuma za bunge, Mwinyi akatuma za rais wa Zanzibar, Makamo nae akatuma zake za makamo.
P
Ni mali ya serikali, Samia anaweza kutuma salamu za pongezi za serikali, Spika akatuma za bunge, Mwinyi akatuma za rais wa Zanzibar, Makamo nae akatuma zake za makamo.
P
Salamu za serikali? Sisi tunatambua kuwa salamu za JMT ndio zinatuwakilisha watanzania ndio hizo rais wa JMT anatakiwa kuzituma.
 
Salamu za serikali? Sisi tunatambua kuwa salamu za JMT ndio zinatuwakilisha watanzania ndio hizo rais wa JMT anatakiwa kuzituma.
Naendelea kusisitiza, kama ni pongezi kila mtu yuko huru kupongeza kutumia headed paper yake!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…