Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar ahudhuria sherehe za Uhuru Dodoma

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Wakuu sherehe za uhuru zinaendelea huko Dodoma.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar amehudhuria sherehe za uhuru.

Ni taarifa tu
 
Kwani ni jambo la ajabu mkuu?
 
Mpango hajarudi toka nje?

Mbona kawa mkimya sana kwa mambo mengi ambayo hayahitaji ukimya wake!
 
Pokea taarifa kaa kimya.
Mbona mnahoji!??🤣🤣
JF imekuaje!?
 
Back
Top Bottom