Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Pre GE2025 Makamu wa Rais CWT: Kero za walimu hazimalizwi kwa maandamano na mabango

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Hawa CWT si tawi la CCM? Imekuaje tena wanalalamikia chama chao kwenye majukwaa?

========================

Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Hai Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu

Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini

Hadi sasa kliniki hiyo imetembea mikoa 23

 
CWT ilishakufa kitambo! Kuishi kwao kama tawi la ccm kwa miaka mingi, jeuri yao kwa walimi, uroho na tamaa yao ya 2% ya basic salary ya walimu imewaponza. Na sasa walimu wengi wanaojitambua kitambo tu wamekimbilia CHAKUHAWATA.
 
Hiki chama kilinipa loss yakufa mtu kinamikiki benki ambayo tangu ianzishwe his zake hazijawai kupanda na wala hawajawai kugawa gawio kwa wanahisa wao mwaka wa tisa huu. Hisa zimeshuka fedha zetu zimepotelea uko.
 
Kashiba maharage ya ikulu atajua wapi shida za wenzake walioko huko nanjilinji,,viongozi wa jumuiya zote wamebaki na uchawa tu,
 
Back
Top Bottom