Hawa CWT si tawi la CCM? Imekuaje tena wanalalamikia chama chao kwenye majukwaa?
========================
Makamu Wa Rais Chama Cha Walimu Tanzania ( CWT ) Ndugu Suleiman Mathew Ikomba
Aneyasema Hayo Mapema Leo Wakati Wa Ufunguzi Wa Kliniki Ya Walimu Na Samia Hai Kilimanjaro Yenye Lengo La Kusikiliza Kero Na Changamoto Za Walimu
Kliniki hiyo inaratibiwa na chama cha walimu Tanzania (CWT) kwa kushirikiana na ofisi ya Rais utumishi, Tamisemi na tume ya utumishi wa walimu nchini
CWT ilishakufa kitambo! Kuishi kwao kama tawi la ccm kwa miaka mingi, jeuri yao kwa walimi, uroho na tamaa yao ya 2% ya basic salary ya walimu imewaponza. Na sasa walimu wengi wanaojitambua kitambo tu wamekimbilia CHAKUHAWATA.
Hiki chama kilinipa loss yakufa mtu kinamikiki benki ambayo tangu ianzishwe his zake hazijawai kupanda na wala hawajawai kugawa gawio kwa wanahisa wao mwaka wa tisa huu. Hisa zimeshuka fedha zetu zimepotelea uko.