Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 1,194
- 911
Sio ujuaji mkuu. Kumbuka "vyombo vyote vya nguvu" huapa kumtii yy, wateule wote huteuliwa na yy na si vinginevyo.A
Acha Ujuaji
Exactly.Kwa lugha nyepesi ni Rais mwenza.
Mimi nisinge tokaIlikuwa ni suala la mda tuu ,ufukuzwe au ustaafu Kwa hiari walau Kwa Heshima kidogo.
Sasa ni zamu yake kuamua kwenda upinzani au kukaa kimya.
Huwezi kwenda kinyume na chama chako na boss wako harafu wakuchekee.
Angalau wewe unajuaNchimbi hajachaguliwa na wananchi, alichaguliwa na ccm ndipo wananchi mkampigia kura kwa mgongo wa samia.
Mfano kipindi cha JPM, samia hakuchaguliwa na wananchi ila alipita kwa mgongo wa JPM
Nadhani ni vizuri kujiuzulu kuliko kufukuzwa au kutenguliwa. Bado naamni kapiga hesabuu vizuri sababu yupo kwenye siasa muda mrefu. Sina shaka naye kuhusu siasasi kujiuzulu kifala hivi.
Hivi nafasi hiyo si huwa inapatikana kwenye sanduku la kura? Kwani Katiba inasemaje kuhusu hilo.Hapa Ackson Tulia angelamba uteuzi ila alivyoachwa solemba , alijiongelesha sana ! Mafumbo kila siku 😂😂 roho ilimuuma alikosa subira !
Sijui nani anapewa kijiti hapa.
Umekuwa Tomaso?Hii barua inamakosa mengi sana.
Wekeni audio/video kama ipo otherwise tusiamini.... kwasababu hii barua ilitakiwa iwe na ushahidi wa barua nyingne (attached document) kwa Mujibu wa maelezo ya barua ukiisoma.
Tusiende haraka tusubri kauli ya mdomo
Unaujua ugumu wa kufanya kazi ktk mazingira magumu ukiwa kinyume nao?Angesimamia maamuzi yake kama kiongozi
Mgombea mwenza siyo Rais Mwenza.Exactly.
Kwa nini wabongo wengi hili jambo wanalidogosha sana?
Makamu wa Rais si sawa na Waziri Mkuu ambaye anateukiwa na Rais tu.
Makamu wa Rais anapata nafasi yaje kama running mate wa Rais kwwnye uchaguzi, on the same ticket.
Yani kuna watu wamechagua ticket ya Samia/Nchimbi kwq sababu ya Nchimbi, si kwa sababu ya Samia.
Na hakuna namna ya kujua hao ni wangapi.
Mbona watu wanalidogosha sana hili jambo?
Chama kitapeleka jina kwa Spika Wabunge watamuidhinisha kuwa makamu mpya.Hivi nafasi hiyo si huwa inapatikana kwenye sanduku la kura? Kwani Katiba inasemaje kuhusu hilo.
Samia awe amechaguliwa na rais?Nchimbi na samia hawakugombea urais pamoja mana samia alipitishwa kihuni.
Sasa kama Nchimbi hajachaguliwa na wananchi kwa sababu ya uchaguzi kuharibika, inakuwaje samia awe amechaguliwa na rais?
Asante.Chama kitapeleka jina kwa Spika Wabunge watamuidhinisha kuwa makamu mpya.
Ngoja wenye maarifa waje watusaidieHivi nafasi hiyo si huwa inapatikana kwenye sanduku la kura? Kwani Katiba inasemaje kuhusu hilo.
Taarifa FEKI!!!!!!!Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Kwa lipi ?Duuh naogopa na kutetemeka nyie Nchimbi why??? Watanganyika umetuhuzunisha!!!
Kama mtu anaamini katika principles zake, anaamini anapigania mambo fulani, na yuko tayari kuzilinda principles hizo at any cost, kwa nini ajiuzulu?Nadhani ni vizuri kujiuzulu kuliko kufukuzwa au kutenguliwa. Bado naamni kapiga hesabuu vizuri sababu yupo kwenye siasa muda mrefu. Sina shaka naye kuhusu siasa