christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 3,333
- 5,490
Sidhani kama wananchi wa Tanzania wanashida sana na vyama. Wanachagua wanachagua mtu na sio vyama. Ni mjinga tu ndie ataamini kuwa kila aliye chadema ni msafi na kila aliye ccm ni mbaya. Na kwa taarifa yako bora hata ccm wanaozoefu kidogo wa mambo wanaweza kuingia hao wengine ndio kila kitu kikaharibika.Anaachiwa huru Lissu, 2030 CCM wanamsimamisha Nchimbi, Raia wanakatika mauno, namba ni ileile raia waisome! Puuumbavu!
Si Max alisema Jeiefu ya sasa imeboreshwa na kuna Fact check? au sikumuelewa.Taarifa FEKI!!!!!!!
Barua gani hii yenye anuani za ajabu tu? Au ni UVCCM wanawinda kufanya kama ya Ndugai? NCHIMBI shikilia hapo hapoa!
Uliyeko mbele ya dunia ya sasa umekuwa ukifatilia hotuba zake???Watu kama nyie bado mko dunia ya zamani sana..
Yaani kwamba Nchimbi yuko nanyi!!
Ungetolewa na usingeweza kugoma.Mimi nisinge toka
Pumzika kwa amani che Guevara
Mistake kubwa kufanya chadema ni kumpokea Lowasa, chadema ilijipambanua kama wapinga ufisadi toka wampokee Lowasa sera yao ikahamia kwenye demokrasia. 2015 chadema na wao walikuwa wanagawa rushwa hadharani, wanajaza matenk ya boda boda nk.Jee ufisadi wa Lowassa unakumbuka CHADEMA kwenye ile list of shame iliyotolewa na Dr. Slaa ulikuwa unahusiana na nini?
CHADEMA kusema Lowassa ashtakiwe walikuwa wanatega mtego ambao CCM hawakuingia... Kuna mengi huyajui.
Angalia hili bichwa kubwa ubongo wa nzi 🤮💩Hajalazimishwa
Mpaka sasa yupo ila amevaa kinyago tusimuone.Aliyemuua Mkapa alipiga hesabu kali sana na ndiye anayeliangamiza taifa. Laiti Mkapa angekata kauli 2014 kurudi nyuma tungekuwa na Mseven wa tz.
Kwaio makamu hawezi kutengeneza SYNDICATE YAKE HAPO CCM MAKAO MAKUUUngetolewa na usingeweza kugoma.
Hadi kwenye Habari? Ama kwakuwa vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na Bwana RA?Na sekta ya habari pia.
Ngumu, nchimbi anaweza akawa ni kete ya kuwapotezea wananchi mwelekeo.Bado sana muda wowote wakitaka kumjenista watafanya hivyo .
Habari ndio Hiyo, ingia BBC Swahili utaona.Taarifa FEKI!!!!!!!
Barua gani hii yenye anuani za ajabu tu? Au ni UVCCM wanawinda kufanya kama ya Ndugai? NCHIMBI shikilia hapo hapoa!
Na pia ni hatari kwa Usalama wako.Unaujua ugumu wa kufanya kazi ktk mazingira magumu ukiwa kinyume nao?
Kikwete anahusika na kifo mkapa ,kikwete anahusika na kifo cha magufuli ingawa mkapa anahusika na kifo cha nyerere, mwinyi pekee ndiye aliye kufa natural deathAliyemuua Mkapa alipiga hesabu kali sana na ndiye anayeliangamiza taifa. Laiti Mkapa angekata kauli 2014 kurudi nyuma tungekuwa na Mseven wa tz.
Wewe ni chawa tu fala wewe, mwanaume na pumb zako unamsifia muuaji, fala na mbwa wewe. Mpumbavu muuaji wewe.Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk Emmanuel Nchimbi, amemwandikia Rais Samia Suluhu Hassan, barua ya kujiuzulu wadhifa huo, miezi michache baada ya kutoa kauli mbalimbali zenye utata.
Kabla ya taarifa hiyo, Dk Nchimbi kwa nyakati tofauti amekuwa akiibua kauli zinazoleta utata, ikiwemo ile aliyowataka Watanzania wapambane kuipata Katiba Mpya, ilhali ajenda hiyo tayari ilishawekewa utaratibu ndani ya chama chake cha CCM na hata kuwa katika Ilani ya chama hicho.
Kauli hiyo iliibua sintofahamu hata ndani ya CCM. Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, Fadhili Maganya, aliijibu kwa kuhoji, anayewashinikiza Watanzania wapambane kupata Katiba Mpya, anataka wapambane na nani?
Sambamba na kauli ya Maganya, Mbunge kupitia Baraza la Wawakilishi, Mohamed Simai Said, aliwahi kusema ndani ya Serikali kuna kiongozi msaliti akimwita ‘Yuda’ kwa kile alichosisitiza, anakinzana na mwelekeo na dhamira ya Serikali.
Mienendo hiyo, ilimwibua Mwanasiasa mkongwe, John Shibuda ambaye Agosti 23, 2026 alizungumza na vyombo vya habari, akimsihi Dk Nchimbi ajiuzulu kutokana na mwenendo wake unaokwenda kinyume na mwelekeo wa Serikali
Dk Nchimbi ametoa taarifa ya kuandika barua ya kujiuzulu na kusambaza katika kurasa za mitandao yake ya kijamii leo, Agosti 25, 2026.
Katika barua yake, ameandika atajiuzulu wadhifa huo kuanzia Septemba 4, 2026 akimshukuru Rais Samia Suluhu Hassan na wananchi kwa kipindi alichoongoza.View attachment 3656596
Anaweza - itategemea Who is behind him.Kwaio makamu hawezi kutengeneza SYNDICATE YAKE HAPO CCM MAKAO MAKUU
Hakuna kitu kama hicho nchimbi ni opportunistic tu, labda anauafadhaliNchimbi ni mpenda haki, asingeweza anaongoza huku raia wanateswa!
Mauaji yale hayawezi mpendeza mtu yeyote mwenye akili timamu.
Nje ya mada; Nchimbi ni kiongozi ambaye hapendeki sababu anapendda haki. Magufuli alimkimbiza kumficha kwenye ubalozi huko.