Naam,Kimsingi(logically) wanapaswa kujiuzulu wote na uchaguzi uitishwe upwa, kwa waliopiga kura walikuwa walipigia combination yao hata probably walipiga kura(kama kweli kura zilipigwa) kwa sababu ya Nchimbi.
TISS intimidation working perfectly.
Jaribu kuvuta kumbukumbu,kuna watu wengi wametoka kwenye hiyo tasnia kwa kivuli cha uteuzi.Hadi kwenye Habari? Ama kwakuwa vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na Bwana RA?
Ww hapo ndo umenielekezaNani amekueleza hivyo gwajima au?
RA atakua anawakilisha mfumo...hata kununua ile taasisi kwa jirani nadhani ni mpango kazi zaidi kuliko biashara.Hadi kwenye Habari? Ama kwakuwa vyombo vingi vya habari vinamilikiwa na Bwana RA?
Watu wako mapumzikoni hawataki bughudha. Kama ni kamchezo tusubiri kesho nayo ni siku vilevile.Haah kweli lkn mbona watu wakubwa Wanajihudhulu siku ya sikukuu
Au kuna kamchezo!!
Hao wabunge wa kupiga kura seriously wako wapi?Rais atateua mtanzania kutoka bara, kisha jina lake litapelekwa Bungeni, wabunge watapiga kura kuidhinisha uteuzi.
Ikiwa kura hazitatosha atateuliwa mwingine.
Exactly.Upo sawa kabisa,hata 2015 CCM walilamba kura kwa kina mama kwa kutumia mgombea mwenza.
Unafikiri utaoneshwa wewe? Na huyo aliyeandikiwa anajali hata kujibu?Tunasubiri barua ijibiwe(Kukubalika au kukataliwa).
😄 🤣 😂Hao wabunge wa kupiga kura seriously wako wapi?
Hao wote njaa kali boss wao akija na jina lolote mkononi hata la zezeta hakuna wa kusema hafai lazima kura zitoshe.
Natamanigi huu udini mnaowekaga uje ujitokeze mpigane waislam na wakristo pengine ndo mje mheshimiane.Kabisaaaa mkuu muda wa unyonge umekwisha kwasasa
kutukanwa waislamu
kumekwisha
Watake sawa wasitake pia itakuwa sawa✍️
Kweli bwana kuna maboss humu,Afu kua serious, unajua hapa tunasomwa na watu wazito wazito, usiniharibie CV tasavali🙃
Kwa sababu amewataka Watanzania wasisitize Katiba! Huyu mama haitakii wema nchi.Mmmh
Samia ni Rais bora kuwahi kutokea ndani ya nchi hii
Tuko na samia,na watambue tuko macho na makini kupiga wanavyodhania
Wakae kwa kutulia amalize awamu yake
Ni kweli, hata IPP ya Mzee Mengi walikwepo muleJaribu kuvuta kumbukumbu,kuna watu wengi wametoka kwenye hiyo tasnia kwa kivuli cha uteuzi.
Naamini ni anakua kakamilisha assignment zake sasa anarejeshwa kuendelea na kazi halisi.
Wangoni hubabaishwa na mademu tu baaaasi. Kwenye mambo mengine wako vizuri.Kumbe Wangoni hatubabaishwi na mambo madogo kama madaraka.