Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

😳
 
Naiona chadema 2030 ikapata nguvu kubwa sana kama ilivyopata kwa lowasa.
Na hapa ccm isipokua makini ndio mwanzo wa upinzania kuchukua nchi kupitia nchimbi. Maana huko huko ccm kuna watakao jitoa kuingia upinzani iki kuikomoa ccm ambayo itakuwa na mafungu ya zanzibar na bara baadhi.
Mchimbi mtoto wa mujini anaenda kupumzika hukooooo kusikojulikana
 

Attachments

  • HQj3_bcWcAA_AtO.jpg
    17.3 KB · Views: 10
Nchimbi ameona nomaa kupelekeshwa na mazaa hausi.. 🙏
 

Yani unataka kusema Nchimbi anaweza kuitisha CCM??

CCM unaijua au unaiskia??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…