THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Hongera na poleni kwa mliyopitishwa
Lakini mbona umeendelea kuwa upande wa Serikali na mfuasi wa huyo JK mwenyewe wakati amewatenda yote hayo?
Hizi ndizo akili za ajabu sasa nchii haihitaji chama inahitaji watu kana kwamba hata chama kisipokuwepo watu wataongoza. Sasa mnaoshabikia vyama kama Simba na Yanga kiasi kikubwa mpo kimaslahi na mnaimia kuona wenzenu wanakula na mnataka na nyie mkale.Aliyekuambia CDM kwasasa haina nguvu kubwa ni nani..??? Ingekuwa haina nguvu CCM ingefanya maridhiano na hivyo vyama uchwara..
Kila la heri MkuuDangote yupo Mtwara na sisi huku tunanufaika kwa uwezekaji wake
Lengo letu ni gesi inatupa manufaa gani sisi wamakonde
Na manufaa tunayaona
Tlaatlaah kasema hana maoni 😁😂AJABU
KWANGU
LEO simuoni
Mwashamba na mwenzie Tlaatlaah mbona kimya ?
JE
Walikuwa Team Emmanuel
Nchimbi
Au watakuja muda mwafaka??
Kwa nini amejiuzulu tuanzie hapo kwanza
Huo si uzuri, ikiwa hivyo huo utakuwa ni ubaya.Uzuri uyo atakayeletwa na yeye yatamkuta ya kumkuta
Urais ni taasisi,asingeweza kushindana nayoNguvu ya Rais ni kubwa Mkuu.
Kauli yake ni amri.
Huwezi shindana naye kwa waziwazi labda kama umeamua kushindwa.
Wamakonde mmenufaika na nini?Dangote yupo Mtwara na sisi huku tunanufaika kwa uwezekaji wake
Lengo letu ni gesi inatupa manufaa gani sisi wamakonde
Na manufaa tunayaona
Nani alisema wewe punga, nchimbi hawezi fanya kazi na genge la wafirajiSi mlikuwa mnasema eti nchimbi ni mafia sijui hawamuwezi mara ana kikosi chake cha siri
Haya kiko wapi
View attachment 3656716
Wewe xuma ***** uliekuwa unajipa matumaini huyo msenge mgalatia mwenzako atakusidia akiwa raisi,Nani alisema wewe punga, nchimbi hawezi fanya kazi na genge la wafiraji
Hasara nyingine kwa taifa na mzigo mzito kwa wananchi maskini watakaojikamua senti zao kulipa mshahara wa nchimbi kama makamu wa Rais mstaafu.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi, ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo na kustaafu siasa pamoja na utumishi wa umma.
Katika taarifa yake kwa umma iliyotolewa leo, Dkt. Nchimbi amesema amemuandikia barua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kumjulisha uamuzi wake wa kuachia nafasi hiyo.
Amesema uamuzi huo umefanywa kwa kuzingatia Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 149(2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kujiuzulu kwake kutaanza rasmi Septemba 4, 2026.
Dkt. Nchimbi ameeleza kuwa wakati alipomuahidi Rais Samia mwaka 2025 kuwa atamsaidia katika kutekeleza majukumu yake kwa uwezo na uaminifu wake wote, pia aliahidi kuwa angeachia nafasi hiyo siku ambayo Rais angeona anahitaji Makamu mwingine.
Amesema amefanya uamuzi huo pasipo shaka baada ya kubaini kuwa Rais anatarajia mabadiliko.
View attachment 3656524
Wakiumizana ndio kunapelekea mabadiliko ya msingi, mpaka sasa Nchimbi na wafuasi wake ni maadui tayari, mtandao inabidi umalizwe na nguvu ya ndani yao maana nguvu kutoka nje ni hatari na wanatumia dola kufanya wanachotakaHuo si uzuri, ikiwa hivyo huo utakuwa ni ubaya.
Kwa nini mna focus kwenye watu wachache wanaoteukiwa juu kuumizwa wakati kuna tatizo kubwa zaidi mifumo mibovu, nchi haina demokrasia na hiyo ndiyo inatakiwa iwe focus?
Sasa huyo anayefuata akiumizwa na mambo yakaendelea hivihivi unafaidika nini wewe?
Yani unaishiaje kuona uzuri Makamu wa Rais kuumizwa wakati hakuna mabadiliko ya msingi?
Mkuu vipi huu mwandiko aiseeTukikubqli kwamba Nchimbi kachagukiwa na wananchi, for arguments sake, najua hii hoja in amatatizo mengi, lakini labda tuondoe CCM, tumuondoe Nchimbi, guiangakie katiba tu.
Ukiachilia sababu kama za afya au kufariki, Makamubwa Rais aliyechagukiwa na watu kushurutishwa kujiuzulu, halafu Rais amteue mtu mwingine kuwa Makamu wa Rais, japa demokrasia inebakwa.
Yani Watanzania wameambiw akura zao hazina maana mara mbili.
Kwanza kwa sababu Nchimbi hakuchagukiw ana wananchi, uchaguzi ulikuwa fake.
Halafu baada ya uchaguzi fake, rais anaamua kumtoa anavyotaka na kumuweka makamu mwinhine anayemtaka yeye.
Toka maktaba 2025WORLD LEADING NEWS FROM EAST AFRICA
the-star.co.ke
https://www.the-star.co.ke
Tanzania Vice President Emmanuel Nchimbi resigns - The Star
1 hour ago — Tanzania Vice President Emmanuel Nchimbi resigns. Nchimbi revealed that he had formally tendered his resignation letter to President Suluhu.
Facebook · DW Africa
280+ reactions · 1 hour ago
Tanzania's Vice President Dr Emmanuel John Nchimbi has ...
The resignation takes effect on September 4, 2026. Nchimbi cited constitutional provisions under Article 50(2)(c) and Article 149(2) of ...
thecitizen.co.tz
https://www.thecitizen.co.tz
Tanzania's Vice President Nchimbi resigns, retires from politics
54 minutes ago — Dr Nchimbi announced the decision on Tuesday, August 25, saying he had formally submitted his resignation to President Samia Suluhu Hassan. He ...
Daily Nation
https://nation.africa
Tanzania Vice President Emmanuel Nchimbi quits
1 hour ago — Dr Nchimbi formally tendered his resignation to President Samia Suluhu Hassan in a letter dated Tuesday, August 25, 2026, according to a public ...
Kenyans.co.ke
https://www.kenyans.co.ke
Tanzanian Vice President Nchimbi Resigns & Reires From Public Service
1 hour ago — John Nchimbi has reportedly resigned from his position and retired entirely from the country's public service effective September 4, 2026.
Capital FM Africa
https://capitalfm.africa
Tanzania VP Nchimbi to resign, citing Suluhu's desire for change
35 minutes ago — Emmanuel Nchimbi has announced his decision to resign from office on September 4, barely a month after he urged rights groups to “fight” for a ...
Citizen Digital
https://citizen.digital
Tanzania Vice President Emmanuel Nchimbi resigns from office
1 hour ago — The resignation comes a year after Nchimbi made a personal commitment to President Hassan to serve with “utter faithfulness” and leave office ...
Facebook · Citizen TV Kenya
1.6k+ reactions · 1 hour ago
Tanzania's Vice President Emmanuel Nchimbi resigns from office and ...
Tanzania's Vice President Emmanuel Nchimbi resigns from office and retires from active politics effective September 4, 2026 citing ...
View attachment 3656634
People Daily
https://peopledaily.digital
Tanzania VP Emmanuel Nchimbi resigns, says Samia wants change at ...
1 hour ago — Tanzania Vice President Emmanuel Nchimbi has resigned after saying he became convinced that President Samia Suluhu Hassan wanted.
KBC Digital
https://www.kbc.co.ke
Tanzania's Nchimbi resigns after nearly one year as Vice-President
1 hour ago — Tanzania Vice-President Emmanuel Nchimbi has written to President Samia Suluhu Hassan seeking to resign from office effective September 19 ...
TOKA MAKTABA :
21 December 2025
State House Uganda
Kaimu rais Dr. Emmanuel Nchimbi alivyoingia kwa protokali zote, na kupata nafasi kupiga picha na mwenyeji wao Rais Yoweri Museveni.
Museveni anamuuliza Emmanuel Nchimbi wewe kabila gani, baba yako ni yule Mzee Nchimbi hajambo ? ......
President Museveni Discusses Solutions To DRC and Rwanda Conflicts
View: https://m.youtube.com/watch?v=E6d5RpULJxs
24 November 2025
Luanda, Angola
Kaimu rais balozi Dr. Emmanuel John Nchimbi awasili Angola kwa kikao cha taasisi mbili muhimu duniani kikao cha EU Umoja wa Ulaya na Umoja wa AFRIKA AU
View: https://m.youtube.com/shorts/MQOeHmaK_6c
Huu ni uvivu wa kuwaachia kazi yako wao tu.Wakiumizana ndio kunapelekea mabadiliko ya msingi, mpaka sasa Nchimbi na wafuasi wake ni maadui tayari, mtandao inabidi umalizwe na nguvu ya ndani yao maana nguvu kutoka nje ni hatari na wanatumia dola kufanya wanachotaka