StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Which uchaguzi?Wewe ndiyo hujaelewa.
Mimi nauliza kwa nini Makamu ashurutishwe kujiuzulu.Wakati kama ulivyosema kilichoshinda ni chama, na Makamu wa Rais kashinda katika ticket moja na Rais.
Basically Makamu wa Rais ni Rais Mwenza.
Kama tunachagua vyama, sio watu, kwa nini Nchimbi anajiuzulu kwa sababu Samia anataka mabadiliko?
Samia ndiye chama?
Zaidi, suala la Makamu wa Rais akishachaguliwa na watu, hapo hata akiondolewa kwenye chama hilo halimuondoi kwenye u Makamu wa Rais.
Sasa kwa nini Nchimbi kajiuzulu?
Sababu aliyotoa kwamba Samia anataka mabadiliko haina mashiko.
Nchimbi si Makamu wa Rais wa Samia, ni Makamu wa Rais wa Tanzania.
Uchaguzi wowote wa mfumo wa running mate kuchaguliwa pamoja na rais katika ticket moja.Which uchaguzi?
Vyombo vya dola ndio wanakushikia uhai wako?Hao uliowataja wana nguvu kuliko vyombo vya Dola?
Vyombo vya Dola ndivyo vinavyompa Rais nguvu ya kufanya chochote anachojisikia!Vyombo vya dola ndio wanakushikia uhai wako?
Mboni picha haionyeshi Makebo ?Si mlikuwa mnasema eti nchimbi ni mafia sijui hawamuwezi mara ana kikosi chake cha siri
Haya kiko wapi
View attachment 3656716
Ili mradi yake yanaenda!kwa nini akakataa kuendelea kunyonya mrija wa utamu ujajiuliza tu
1. tulia
2. ndugai
3.majaliwa
4. mpango
5. Nchimbi
6. polepole
yaan wote wajikate kufanya kazi na wewe ila bado umeshupaza shingo mm napendwa sana 98%
Hakuna hivyo vyombo tanzania..Vyombo vya Dola ndivyo vinavyompa Rais nguvu ya kufanya chochote anachojisikia!
Ndo maana Kenya hata Makamu wa Rais anagombea nafasi yake, sio kuteuliwa kama Tanzania. Tumpe Kabudi ili azoee zoee kiti cha uraisi..View attachment 3656868
Baada ya kuripotiwa kujiuzulu kwa Makamu wa Rais wa Tanzania, Emmanuel Nchimbi, gumzo linaloibuka hivi sasa, ni nani atakayechukua nafasi hiyo?
***** kama kawaida yako unawa kufirw@ tu muda woteMboni picha haionyeshi Makebo ?
Watu tunataka tuone makebo wewe unatuonyesha maziwa?weka picha ya makebo upesi!
KalalaUlikuwa wapi๐View attachment 3656886
Nyuzi zipo kama 40 yeye ndio anatukurupua, kila media ni habari hii comments milioni, jamaa ndio anatusanua muda huu๐Kalala