Nchimbi ndiye mtu wa kwanza kabisa kwenye mkutano mkuu wa CCM aliyeanzisha wimbo wa "Tunaimani na Lowassa" kupinga uteuzi wa Magufuli kuwa mgombea urais wa Tanzania kwa tiketi ya CCM. Nchimbi alikuwa hamtaki Magufuli kabisa akimtaka rafiki yake Lowassa awe Rais hata kama wanaCCM wanzake walikuwa wanasema Lowassa alikuwa na tuhuma nyingi za ufisadi kwenye sakata la Richmond. Hata Mwl. Nyerere alimkataaga Lowassa kuwa Rais kwasababu ya ufisadi.Nchimbi is a man with integrity. Wahuni wanazidi kuivuruga Tanzania.
Amesema kuanzia tarehe 4 September ndio ataanza kuustaafuBarua inaonesha amesitaafu masuala ya siasa, utumishi, na utawala kwa ujumla. Alafu anahudhuria vipi tena shughuli za kisiasa!
sijui kwa nini watu wengi wanapenda kujiliza liza. yaani hana haya kabisa.Hakuna mtu wa kukufikiria mkuu.
Kundi la nne na hatari sana ni Kanisa. Fanya utafiti utagundua kuwa kanisa ndiye mwakilishi halisi na halali aliybaki Afrika baada ya wakoloni kuondoka. Kanisa linalinda maslahi yake na yale ya bara la Ulaya (Berlin conference) kimyakimya. Kama Afrika haitatupia macho upande huo wa shilingi wataendelea kumtafuta mchawi wao wasimpate. Mifumo yote ya kanisa inaanzia, elekea na kuishia Ulaya. Pesa inatoka Ulaya kuja Afrika na kurudi Ulaya. Afrika ni kama shamba lao tu, kitega uchumi chao tu kwa msaada wa kanisa. Kila Rais wa Afrika mwenye amani na uongozi wa nchi yake ni yule atakaekubalika na kanisa.Nchi hii ukiwa Rais kutoka zanzibar halafu hauko stable lazima makundi haya matatu yakutoe kwenye focus au falsafa yako. Kwanza ni ccm yenyewe (wale wanaojiona wanakijua chama na nchi hii), pili ni watu wa usalama ( wazee wa kunusanusa) na tatu wazanzibari (wanaojiona ni ndugu zako). Wote hao watakupa ushauri ambao utaonekana ni muhimu na unakulinda wewe lakini utakuyumbisha sana kwenye maamuzi na utulivu wa kiuongozi, mwisho utajikuta unamalizi muhula wako bila kujua ulishindwaje kudemonstrate falsafa yako ulipokuwa Rais.
Nyerere alikua ana nongwa kwa Lowasa kwa sababu aliamini kwamba umasikini na unyonge ndio uzalendo, na Lowasa alikua anatokea kwenye familia ya kishua. Lowasa kaenda uingereza akafanya shopping ya suti. Karudi bongo kazunguka mikoani na helikopta kutafuta washamini ili achukue form ya uraisi, Nyerere akamuwekea nongwa. Sasa kuna ubaya gani kama lowasa alikua anatumia hela zake. Nyerere alikua na mentality ya kimasikini, no wonder hata familia yake kaiacha ikiwa masikini.Hata Mwl. Nyerere alimkataaga Lowassa kuwa Rais kwasababu ya ufisadi.
Mi nampenda kweliAnna unampenda Nchimbi? Wtf 😳
Nyerere aliaminika, tunamuamini na ataaminika kupingana nae leo lazima ujenge hoja nzito.Nyerere alikua ana nongwa kwa Lowasa kwa sababu aliamini kwamba umasikini na unyonge ndio uzalendo, na Lowasa alikua anatokea kwenye familia ya kishua. Lowasa kaenda uingereza akafanya shopping ya suti. Karudi bongo kazunguka mikoani na helikopta kutafuta washamini ili achukue form ya uraisi, Nyerere akamuwekea nongwa. Sasa kuna ubaya gani kama lowasa alikua anatumia hela zake. Nyerere alikua na mentality ya kimasikini, no wonder hata familia yake kaiacha ikiwa masikini.
Nyerere ni binadamu alikua na mapungufu yake pia. Vilevile aliongoza zamani sana. Dunia inabadilika kila siku. Kuna mawazo yake mengine tayari yashakua outdated kwahiyo hatuwezi kuishi milele kwa kufuata mawazo ya Nyerere.Nyerere aliaminika, tunamuamini na ataaminika kupingana nae leo lazima ujenge hoja nzito.
Kitu ambacho mpaka leo sikukifahamu hadi leo ni kwanini Mwl Nyerere mkatoliki alimpendekeza Mkapa mkatoliki na Mkapa mkatoliki alimpendekeza Magufuli mkatoliki kugombea urais. Na bahati mbaya Nchimbi nae ni Mkatoliki. Je, hii ni bahati tu au ni mpango? Madhehebu mengine ya wakristo hayana maadili? hawafai? hawautaki?
Kwanini iwe ni wailslam na wakatoliki tu kwenye ngazi ya Urais? Maana hata Mpango na Nchimbibni wakatoliki pia.
Aisee! Kwa mtaji huu CCM itatawala milele nchi hii!Mi nampenda kweli
Kiukweli yaani nilikuwa na wish hizo nafasi zao wangeexchange
Angalau watu wasingepiga kelele sana mwaka jana.
Siyo kwamba tunaipenda.Aisee! Kwa mtaji huu CCM itatawala milele nchi hii!
Sikujua kama bado wapo watu wenye hamu na CCM hususan baada ya kuua hadi watoto ili wabaki madarakani.
Inasikirisha.
Wewe hujui kitu. Nchimbi anataka sifa ya peke yake ndani ya chama badala ya sifa ya chama. Hata hivyo yeye sio wa kwanza kufanya hivyo na lazima atashindwa tu kama wengine.Nchimbi is a man with integrity. Wahuni wanazidi kuivuruga Tanzania.
WaliofitinishaNauliza:-
Katika Mukhtadha tulofikia, hivi nani atakuwa na ujasiri wa kupokea Kijiti cha mh. Nchimbi bila kutazama mbele wala nyuma?
Kweli kabisa unachosema.Maswali ambayo najiuliza.
Ni trick ipi waliyotumia kum force Nchimbi mpaka kuachia ngazi?
Maana huko nyuma kumekuwa na tetesi za Nchimbi kulazimishwa kujiuzulu.
Je usalama wake ulitishiwa? Au pengine ameamua kukubali kwa lengo la kulinda familia yake kwasababu ni easy target?
Kwasababu hili swala ukilitafakari kuwa ni maamuzi ya hiari, hali make sense kabisa.
Ni sawa na kusema iko siku wamerekani wataacha kumheshimu George Washington na Abraham Lincolin.Nyerere ni binadamu alikua na mapungufu yake pia. Vilevile aliongoza zamani sana. Dunia inabadilika kila siku. Kuna mawazo yake mengine tayari yashakua outdated kwahiyo hatuwezi kuishi milele kwa kufuata mawazo ya Nyerere.
Kuna kizazi kinakuja hakina shobo na huyo Nyerere. Kwahiyo uko mbeleni nae atakaangwa sana tu. Status ya "untouchable" aliyopewa haitadumu milele
Kuhusu wakatoliki nafikiri uenda kuna makubaliano ya siri. Huo mfululizo wa kubadilishana waislamu na wakatoliki sidhani kama inatokea tu by coincidence.