Patrice Diounis
JF-Expert Member
- Jul 24, 2023
- 1,086
- 2,254
Akili mgandoNi sawa na kusema iko siku wamerekani wataacha kumheshimu George Washington na Abraham Lincolin.
Huu umoja tulionao ni kwasababu ya falsafa za Nyerere. Kama sio umoja wetu huu ambao mizizi yake imezama chini sana vurugu za Oct 29 zingeshatusambaratisha vibaya sana. Watz tunaongea lugha moja, tunanunua maduka yaleyale, tunatibiwa zahanati zilezile na watoto wanasoma shule zilezile bila kujali kabila, dini wala chama cha siasa unachoshabikia.
Kuwa na akili timamu mzee baba. Kwamba mtu akiheshimiwa ndio awe untouchable?. Kuheshimiwa ataendelea kuheshimiwa, lakini ile status yake ya untouchable alipewa ndio inaenda kupotea.Ni sawa na kusema iko siku wamerekani wataacha kumheshimu George Washington na Abraham Lincolin.
Huu umoja tulionao ni kwasababu ya falsafa za Nyerere. Kama sio umoja wetu huu ambao mizizi yake imezama chini sana vurugu za Oct 29 zingeshatusambaratisha vibaya sana. Watz tunaongea lugha moja, tunanunua maduka yaleyale, tunatibiwa zahanati zilezile na watoto wanasoma shule zilezile bila kujali kabila, dini wala chama cha siasa unachoshabikia.
Maana trust no one suspect anybody
Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika
Britanicca
Easy hivyo.Wewe na wenzako mnaoitakia mema Tanganyika mliopo kwenye system kwanini msikae mbele kuokoa Taifa?
Kwani Britannica ni Mchina?Easy hivyo.
watz mnatakiwa mjipambanie wenyewe hakuna wa kupambania haki zenu.
Uwaneni tu ..Maana trust no one suspect anybody
Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika
Britanicca
Atakujibu yeyeKwani Britannica ni Mchina?
Asee britanicca nimeanza kulala saa 9 . Nilisubiri ahadi yako ya saa nane usiku hukuonekana. Ama hii ndoMaana trust no one suspect anybody
Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika
Britanicca
Mbona comment ya mwanzo hukusubiri anijibu yeye niliyemuuliza!?Atakujibu yeye
ifuteMbona comment ya mwanzo hukusubiri anijibu yeye niliyemuuliza!?
huu upuuzi sio wa jukwaa hiliDa Pipi nishushe
Hana lolote huyo mpumbavu tu..sijawahi kuwaamini watu wa aina yake, ukisoma anachoandika btn the lines utaona motive yake..Wewe na wenzako mnaoitakia mema Tanganyika mliopo kwenye system kwanini msikae mbele kuokoa Taifa?
Code ya leo itakuwa kila mtu kaijuwa maana ni nyepesi sanaMaana trust no one suspect anybody
Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika
Britanicca