Kwa nini wasitafute hata wafadhili wakawa toa nje the wakatoe madudu yote? Then sisi kama watanzania tuta wa appreciate na atakuwa mwanzo wa Tanzania 🇹🇿 tunavyo ihitaji. Maana kinacho tokea hapa ni kama msondongoma tu. Tunachoreshana na kuvimbiana kuwekeana codes za yale yanayo endelea nyuma ya paziaWewe na wenzako mnaoitakia mema Tanganyika mliopo kwenye system kwanini msikae mbele kuokoa Taifa?
Motive yake ni ipiHana lolote huyo mpumbavu tu..sijawahi kuwaamini watu wa aina yake, ukisoma anachoandika btn the lines utaona motive yake..
Aliweka ikashushwa imerudi imepunguzwa.Asee britanicca nimeanza kulala saa 9 . Nilisubiri ahadi yako ya saa nane usiku hukuonekana. Ama hii ndo
To fool you..km vile anawapa maangalizo vipande vipande ili apime ujinga wenu ulipo na mpumbazike na hivyo vitaarifa uchwara..wakat havina msaada wowote..mtu mwema huwa anaelekeza ku-counter attack hila anazojua zinafanyika.Motive yake ni ipi
Hili nimeshaliandika kwenye Uzi wako kuwa MBOMO ATAMALIZWA, Hakuna urafiki katika USALITIMaana trust no one suspect anybody
Kama si hila tu kwa SAVIMBI nahisi na MBOMO atawekwa pembeni kwa kuwa Kama una share Siri za miezi mingi nyuma ina Maana nawe unahusika
Britanicca