Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

Nimekumbuka Lile Beat lake na melody Kali Sana ya Wimbo huu.

Asante Sana Mkuu
 
Wakati anatoa ile kauli alikuwa ameshaamua kuachana na hii serikali. Hata Tulia nae aliamua kuachana kabisa na ukaribu kwa Samia akaondoa mpaka jina lake kwenye uspika na aligoma hata kuhudhuria uapisho wake ila akalazimishwa.
 
Samia anazidi kujiimarisha, hii sio nzuri naiona hata 2030 kama watanganyika tusipokuwa serious tukaikomboa hii nchi tunaenda kukabidhiwa kwa mkoloni mwingine.

Hawa jamaa wanatuzunguka sana, siamini tena kama anaweza kutokea mkombozi wetu miongoni mwao, mkombozi wetu sasa tujue fika ni sisi wenyewe.
 
Nchimbi kidume..tena kidume haswa




Toka Brasil Brazil hadi Tanzania jinsi wawili hawa Emmanuel Nchimbi na attaché Suleiman Mombo kusuka mitego Samia ajitege kwenda ICC

TOKA MAKTABA:

Kaimu rais mtarajiwa Emmanuel Nchimbi, Suleiman Mombo DGIS TISS wameona jinsi serikali dhalimu za latino Amerika zinavyoshughulikia wapinzani. Wameona na kujifunza vikosi maalum vya paramilitary vinavyoendesha operesheni haramu za kuua kwa makundi wapinzani wa serikali za kudikteta.



Yumkini tuliyoyaona kuanzia tarehe 29 Oktoba 2025 hadi 04 November 2025 viikosi vya wadunguaji vilivyovaa mabaka mabaka na tisheti nyeusi vikirandarana kuwavizia, kuwawinda, kuwapiga risasi mamia ya vijana ni yale waliyoyaona wakiwa Brazil na kuyaleta katika miji ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza n.k ambapo miili mingi ya watu waliopigwa risasi gizani ilionekana kutapakaa katika taifa la Tanzania



.PICHA TOKA MAKTABA :



Mhe. Rais Michel Temer na Waziri wa Mambo ya Nje wa Brazil Mhe. Aloysio Nunes Ferreira Filho (wa tatu kutoka kushoto) wakiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, watatu kutoka kulia ni Mama Balozi Jane Nchimbi, Bw. Frank J. Mhina, Afisa Ubalozi na Mkuu wa Utawala; na Bw. Suleiman Abubakar Mombo (the Plenipotentiary Minister of the Embassy) yaani Afisa Mwandamizi wa Ubalozi.



Balozi Dkt. Nchimbi na Mama Balozi Jane Nchimbi, wakisindikizwa Mara baada ya kumaliza kuwasikisha hati za Utambulisho kwa Rais




2015 21 September
Dodoma, Tanzania

CCM wakiimba --Tuna imani na LowassaCCM mbele kwa mbele. Kingunge akiwa Arusha.




View: https://m.youtube.com/watch?v=xAq-winQLtU
11 Julai 2015
Dodoma

NCHIMBI - KUKATWA KWA LOWASSA

View: https://m.youtube.com/watch?v=vX_orcX9k2Y
 
Hui
Hii ni kama Ndungai....hii barua hajaandika Nchimbi! Uhai wake ndio bye bye!
 
Kufanya kazi na Samia kunahitaji moyo. Ni mtu sijui niseme hana akili! Huwa ana maamuzi ya hovyo sana.
Wanawake wana changamoto ya kupanick haraka

Inawezekana Kuna machawa waliingia kati na kumjaza Mama maneno ya husda na uongo naye akayaamini, mwisho wa siku tunaenda kupata hasara ya kuwahudumia Makamu wa Rais watatu ndani ya miaka hii 5🙌 iliyopita
 
Mwanzo nilijua ni uzushi na kwamba wana tuset tutoke kwenye focus.

Sasa Nchimbi anaenda kuwa kama Polepole. Rai yangu achukue precautions zote kwasababu mapambano nje ya mfumo bila security sio rahisi.
Ni ama ajiunge na kina mizengo pinda, kassim majaliwa, nzabayanga akson tulia AU AUNGANISHWE KWA LAZIMA NA POLEPOLE, NDUGAI, MEMBE MAGUFULI N.K
 
Kuna saa nawaza hii idara ya usalama wa taifa hawawezi kuzua kitu kama hiki?
Hawako mbele ya muda kuona kiongozi huyu anafaa apewe nafasi na huyu hafai wasipewe nafasi.

Why kila siku migogoro ya kiutawala na ya kimamlaka ?
Lini sasa taifa litakaa tayari kwaajili ya kufocus kwenye maendeleo ya jumla ?

Tutabaki kila mara migogoro mpaka lini,na tahamaki 2030 hio hapo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…