Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu


Ndio bado najaribu kufikiri kwa namna ipi Makamu atashinikizwa ndipo naona kuna Drama au mpango wa mbali
 
Mimi Starehe zangu baada ya Familia yangu ni Mziki. Sinywi pombe, sivuti sigara, siangalii Simba wala Yanga, na chumbani kwangu Sina takataka za tv
Sasa ili mziki uuenjoy vyema
Ungekuwa unafanya chombo chochote mfano
Saxaphone
Piano
Violin
Guitar nk
yaan ukiusikia wimbo unaenda kuufanya
mfano nipo nakagua status kuona reaction ya jamii..nkakutana na short clip ya dully sykes ( sijui kama nmepatia jina ) akiwa na zuchu nafkiri wanaimba wimbo wa zamani wa dully una maneno haya

Usinione naliaaah
Mi nakupenda Weeh
Kosa langu Kosa Langu...

sijui kitu gani kinafuataa sasa ile melody imenikaa hapa nachukua guitar naifanya vile moyo wangu utataka
 
Simlikuwa mnamjaza humu kwamba ni kachero mbobevu hashindwi kitu now imekuwaje Tena !? πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Ila samuya licha ya madudu yake mazito it seems like she's scary more than a lion

Wana muogopa mnooo

Hahaaa nacheka kama mazuri
 
Kwa mujibu wa Katiba ya Nchi, Rais atapendekeza jina la Makamu Kisha litaingizwa Bungeni kwaajili ya kupigiwa kura

Japo mapendekezo ya jina yaanzia kwenye chama chao
 
At least bado tuna watu

At least bado tuna wazalendo

All the best utaandikwa kwenye vitabu vya historia ya nchii hii kwa kukataa uhuni.
Kwa jinsi mambo yalivyo kwa sasa ndani ya ccm na dola,na kutofautiana kwa mitazamo baina ya namba 1 na 2 ni sahihi kabisa kwa namba 2 kufanya hayo maamuzi

Kwasababu mtu kama namba mbili atakuwa anafanya unafiki wakati dhamira yake inamsuta

Huenda ndio maana kaamua kujiudhuri kama hizi taarifa ni sahihi
 
Huu ushauri wako ni mzuri natamani, sijapata platform wapi na weza kujifunza guitar especially Base Guitar
 
Chini ya mtutu wa bunduko ama kwa ridhaa yake?
Huyu sio mteule wa Rais, huyu alipogiwa kura na wananchi. Tunataka uchaguzi uitishwe upya
Kwa ridhaa yake wapi πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Huyo katishwa ingekuwa ni kwaridhaa yake asingekubali kuwa mtawala chini ya utawala ulioua makumi ya watu ili tu kuingia ikulu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…