Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Hiyo ni tafsiri yako.Mzee kapokonywa madaraka kizembe mno😁
Siku zote hizo alikuwa Vatican anafanya nini na papa alishazikwa au anaosha vyombo?MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, mapema leo Jumatatu, tarehe 28 Aprili 2025.
Dkt. Mpango amewasili nchini akitokea Vatican, ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Hayati Baba Mtakatifu Papa Francis.
Mbona nasikia afya yake siyo nzuri sana na alikuwa ameomba kujiuzu wakamwomba amalizie ungwe?Mzee kapokonywa madaraka kizembe mno😁
Sio kweli inasemwa hawapikiki chungu kimoja na malikia sheba 😁Mbona nasikia afya yake siyo nzuri sana na alikuwa ameomba kujiuzu wakamwomba amalizie ungwe?
Ni wazi afya yake siyo nzuri, tokea wakati ule wa COVID- alipoponea chupu chupu. Ni muujiza tu kwamba huyu ali-survive; lakini 'damage' ilikuwa kubwa.Mbona nasikia afya yake siyo nzuri sana na alikuwa ameomba kujiuzu wakamwomba amalizie ungwe?
Noma sana mzee ukimsikiliza hotuba zake za bajeti ni geniusHiyo ni tafsiri yako.
Tafsiri nyingine inaweza kuwa yeye hakutaka kuwa sehemu ya uchafu.
Kama huyu hapikiki naye huyo anayekuja atawezana naye? Si anaonekana kama mjanja mjanja kisiasa kuliko huyu? Kuna uwezekano dirisha lile lile lililotumiwa na malkia kuingia ndani na yeye akalitumia.Sio kweli inasemwa hawapikiki chungu kimoja na malikia sheba 😁
Hili jambo la makamu kuwa president in waiting ni hatari sana. Wasipofanya marekebisho haraka naona makamu mwingine akiwa rais katikati ya kipindi.Katika hali ya kawaida, hawa ndio wangekuwa wameshikilia maslai ya nchi hii mikononi mwao wakati huu; lakini inasikitisha kwamba wanatumika tu kama vikaratasi vya chooni vya kusafishia uchafu.
Inaudhi sana.
SI kweli,Mzee kapokonywa madaraka kizembe mno😁
Hii sawa na Heche kukutana Lema kwa sababu wote ni chama kimojaMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, mapema leo Jumatatu, tarehe 28 Aprili 2025.
Dkt. Mpango amewasili nchini akitokea Vatican, ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Hayati Baba Mtakatifu Papa Francis.
Kwani papa kazikwa lini?Siku zote hizo alikuwa Vatican anafanya nini na papa alishazikwa au anaosha vyombo?
Alibaki anafanya nini viongozi wote walisharudiKwani papa kazikwa lini?
Yaa ni kweli ana hofu sana ya MunguHiyo ni tafsiri yako.
Tafsiri nyingine inaweza kuwa yeye hakutaka kuwa sehemu ya uchafu.
Vatican CityMAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KATIBU MKUU WA CCM DAR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdory Mpango, amekutana na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, mapema leo Jumatatu, tarehe 28 Aprili 2025.
Dkt. Mpango amewasili nchini akitokea Vatican, ambako alimwakilisha Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kwenye mazishi ya aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa Kanisa Katoliki Duniani, Hayati Baba Mtakatifu Papa Francis.
Ni kama unataka kusema lakini unaogopa 😂😂Hii sawa na Heche kukutana Lema kwa sababu wote ni chama kimoja