johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga.
Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara.
Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka kutoka kwa Rais Samia ambaye ameahidi kusimamia uhuru wa kuabudu na kuhakikisha amani inakuwepo wakati wote.
Source ITV habari
Maendeleo hayana vyama!