Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa Jenista Mhagama

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akishiriki katika ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho Marehemu Jenista Joakim Mhagama.
Your browser is not able to display this video.
 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi ameshiriki katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Peramiho, Marehemu Jenista Joakim Mhagama, iliyofanyika katika Kanisa Katoliki, Parokia ya Mwenyeheri Maria Theresa Ledochowska, Kiwanja cha Ndege mkoani Dodoma.
 

Attachments

  • FB_IMG_1765650709767.jpg
    121.9 KB · Views: 38
  • FB_IMG_1765650719141.jpg
    115.4 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1765650716483.jpg
    73.9 KB · Views: 32
  • FB_IMG_1765650721037.jpg
    79.5 KB · Views: 34
  • FB_IMG_1765650722941.jpg
    119.5 KB · Views: 34
  • FB_IMG_1765650714626.jpg
    157.9 KB · Views: 37
  • FB_IMG_1765650713194.jpg
    204.4 KB · Views: 35
  • FB_IMG_1765650709848.jpg
    153.4 KB · Views: 34
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…