Makamu wa Rais Kenya atimuka mbio kuwalaki mashujaa

Miaka ile haya mambo ya kupata heshima za wanamichezo duniani yalikuwepo. Siku hizi imebaki hadithi tuu.
Lililopo ni kupiga picha na kina Shilole na Diamond na
kuhesabu kuwa ni mafanikio
 

Attachments

  • 1441096238237.jpg
    40 KB · Views: 467
Hahaha Ruto kweli leo amefurahi, ukilinganisha na juzi walivyotupiana maneno na mwenzake Isaac kule Bomet.
 
wanamichezo na wasanii wa tz hufanyiwa party kila uchaguzi ukifika.
 
Watanzania kitu akifanya kiongozi wao wanakandia, akifanya kiongozi wa nchi nyingine wanamsifia...
 
Aisayee... MK254 HEBU TMTUPE KaMEDALi kamoja..!!! HONGERA KENYA , Hongera Jirani wa kudumu, tutajifunza mengi kwenu!!!
 
Last edited by a moderator:
Filbert Bayi 'aliondoka' na mbio zetu...katuacha yatima.
THE Hero and the CHAMPION F.Bayi walimkwamisha na kumdai USHURU kwa zawadi alizoshinda, aliporejea ktk Mashindano ya mbio!! POLE kwa wote.....
 
Eti hotbed of medals, Wakenya kwa vijembe....lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…