Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia;

TAZAMA:
- Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba.
- Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi.
- Anamwakilisha vizuri raisi kwenye mbalimbali yanayomshinda kwa sababu mbalimbali.

- Kipindi hiki janga la korona hajaonekana kutafuta execuses, anapambana na majukumu kiofisi - ofisini kama kawaida.
 
Naunga mkono hoja, ampokee!.
P
 
Mamlaka makubwa wanayaweza wanaume tu.

Wanaume ndo watu wenye guts za kufanya decision kwenye dunia hii.

Wanawake hupewa mamlaka pale mambo yanapokuwa sawa ili walee mazuri.
 
anafaa

lakini si kwenye jahazi bovu la MV CCM
 
Naunga mkono hoja, ampokee!.
P
Yani nyie wasukuma sijui mtaambia nini watu! Siyo Gwajima, siyo Makonda na mbaya zaidi baba lao Magufuli. Sasa tuwaamini tena kwa lipi? Sema mwenyewe kama tunawaoneeni.
 
Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia;

TAZAMA:
- Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba.
- Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi.
- Anamwakilisha vizuri raisi kwenye mbalimbali yanayomshinda kwa sababu mbalimbali.

- Kipindi hiki janga la korona hajaonekana kutafuta execuses, anapambana na majukumu kiofisi - ofisini kama kawaida.
Bado unadhihirisha CCM inatakiwa kuendelea kuongoza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi na wewe pia ni Mtaalamu wa graphology, unasoma maandishi unakijua kilicho moyoni kwa mwandishi?.
P
Hilo pia ni kati ya maeneo yangu mkuu. Huwa nasoma hadi maandishi na miandiko. Kuna mambo huwa sufanyi na mtu hadi nione maandishi yake, wengine hadi nione miandiko yao.
 
Duh...!, Mkuu wewe kama sio, ulipaswa kuwa ni mtu wa kule!.
P
 
Back
Top Bottom