Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Kwa Madolali hayo ndo mana kuanzia mwezi wa saba form 5 na 6 wanasema bure Kama huna mtoto basi kuna ndugu zako wanafaidiWaambie waendelee kukusanya tu hayo MADOLALI sijui ndiyo bange za sayari gani?
Huyu ndo pompeo achwa udwaziHuyu ndiyo alimpiga bashite marufuku kukanyaga USA baby
Ila yeye amekanyaga nyumban kwa bashiteView attachment 2318070
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwa sababu wazungu huwa hawaziibii Nchi zao !! Ila wanaweza Wakapora huko nje wakazipeleka kwao !!Wazungu huwa wako simple sana
CIA wapo kazini hapo.
Huyo ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, yuko analinda maslahi ya vibosire wake. Endelea kumwimbia sifa na mapambio, ila soon utanielewa.Hakuna cha bangi wala nini
Mwezi wa saba tu Tanapa wamekusanya Bil 47 kwa utalii tu
Hii inaonekana sekta yetu ya utalii si mchezo we endelea tu kusononeka tuachie tunaojua namna Samia anavyoipeleka hii nchi mbele kimaendeleo tushangilie
Sidhani kama unajua wanachojifunza hao unaodhani wanapewa elimu bure. In short, walikuwa wanaibiwa.Kwa Madolali hayo ndo mana kuanzia mwezi wa saba form 5 na 6 wanasema bure Kama huna mtoto basi kuna ndugu zako wanafaidi
Mungu wabariki WazunguMike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.
Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika uchaguzi wa 2016. Alihudumu na Rais Donald Trump.
View attachment 2318001
Wazungu huwa wako simple sana
Atubariki na sisi ! AmenMungu wabariki Wazungu
Huyo unampa mzigo mzito sans.Siyo kwamba amekuja kukagua mradi wake ambao Royo Tua ilikuwa ikiipigia chapuo?
Waende na mama yao tu wametuangusha sana hao znzUtaskia soon Zanzibar inataka kujitenga na ni nchi huru isiingiliwe mambo yake. Yale yale ya Taiwan
Hii picha kiboko. Unaweza kudhania trick photography.Mkurugenzi wa mtandao wa Jamii Forums, Maxence Melo(Wa pili kulia) alipoizuru ofisi ya makamo wa Rais wa Marekani bw Mike Pence tarehe 07 Dec 2019
View attachment 2318176
Achituleletee TU sera za ubeberu 🏃,kama ule unao endelea kupiganwa na mbambe mmoja vis mabeberu wa ulaya na America 🤔Mike Pence, Ametua Zanzibar kabla ya Ziara yake ya kitalii ya kutembelea Serengeti National Park.
Mike Pence (amezaliwa Juni 7, 1959) ni mwanasiasa wa kihafidhina wa Amerika ambaye alikuwa mjumbe wa Baraza la Wawakilishi na gavana wa Indiana kabla ya kuwa makamu wa rais wa Marekani katika uchaguzi wa 2016. Alihudumu na Rais Donald Trump.
View attachment 2318001
Pompeo unamjua?Huyu ndiyo alimpiga bashite marufuku kukanyaga USA baby
Ila yeye amekanyaga nyumban kwa bashiteView attachment 2318070
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kiwasi wewe utopoloHuyu ndo pompeo achwa udwazi
Nani kaweza kudhibiti mfumuko wa bei duniani kwa sasa?Huyo ameshindwa kudhibiti mfumuko wa bei, yuko analinda maslahi ya vibosire wake. Endelea kumwimbia sifa na mapambio, ila soon utanielewa.
kweli kabisaNchi inafuguka kupitia diplomasia ya kiuchumi kwa vitendo.