... ni kweli! Upepo wa kisulisuli angalau kwa mfano wa Nabii Elia ni gari lililomtwaa Elia duniani kumpeleka Mbinguni. So, upepo wa kisulisuli ni kwa walio hai sio waliokwisha fariki.Upepo wa kisulisuli naona kama umetumika mahala sipo hebu wataalam wa lugha mukuje