Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nyamlani anapaswa kutii sheria za nchi na kumkabidhi ofisi Wambura .Huyu jamaa kweli mpambanaji, ngoja tusubiri na picha akiwa anakabidhiwa ofisi na mtu aliyekua anakaimu.
Najilipua kama ulivyoMAXBET TODAY
Todays tips are
Vasas SC – Debreceni VSC
Tip: OVER 1.50
1.22
Valencia – CD Ebro
Tip: OVER 2.50
1.35
Beroe – Cherno More
Tip: 1X
1.16
TOTAL ODDS:
1.91
Hakuna kilicho juu ya mahakama , hii ndio raha ya sheria .Wambura ana kesi ingine ya kupeleka masuala ya Mpira wa miguu mahakamani adhabu yake ni kufungiwa na FIFA maisha. Pia Tff yao waliyokuwa wamezoea kama ya akina Rage na Ndolanga ya marushwa rushwa hawezi kufiti tena kwenye Tff ya sasa ambayo haina upigaji.
Ukifungiwa na TFF huwezi rudishwa na mahakama za kiraia bali makama ya au CECAFA, au AFF, AU fifa wenyewe huyu Wambura asijifanye zuzu.
kesi yake kisheria ilikua lazima aende mahakama ya nchi.Wambura ana kesi ingine ya kupeleka masuala ya Mpira wa miguu mahakamani addabu yake ni kufungiwa na FIFA maisha.
True !kesi yake kisheria ilikua lazima aende mahakama ya nchi.
Mpira/Football/Kandanda/soccer/kabumbu una wenyewe.Wenyewe hao ni TFF,CECAFA,CAF na FIFA.Mike anajua angekata rufaa kwenye vyombo vya mpira angeshindwa akaenda mahakama za kawaida.Hawezi rudi TFF sababu itapingana na taratibu za FIFA wenye mpira wao ama sivyo tuwe na mpira wetukesi yake kisheria ilikua lazima aende mahakama ya nchi.
mkuu kwani FBI ni watu wa FIFA? mbona walisaidia kumng'oa blaterMpira/Football/Kandanda/soccer/kabumbu una wenyewe.Wenyewe hao ni TFF,CECAFA,CAF na FIFA.Mike anajua angekata rufaa kwenye vyombo vya mpira angeshindwa akaenda mahakama za kawaida.Hawezi rudi TFF sababu itapingana na taratibu za FIFA wenye mpira wao ama sivyo tuwe na mpira wetu
Hata Bongo kwenye jinai hata FIFA hatahusika.Ila migogoro ya aina ya huu unaomhusu mike na tff,fifa inahusika moja kwa moja.mkuu kwani FBI ni watu wa FIFA? mbona walisaidia kumng'oa blater
labda mimi ndio sielewi, em toa ufafanuzi.
Huo ujinga aliuanzisha Sep Blatter ili aendelee kuipiga FIFA, kwa kua alikua anafaidisha wakubwa wakawa hata maamuzi yake yakivunja sheria za nchi wanamfumbia macho, aliporikoroga unajua kilichomkuta.Wambura ana kesi ingine ya kupeleka masuala ya Mpira wa miguu mahakamani adhabu yake ni kufungiwa na FIFA maisha. Pia Tff yao waliyokuwa wamezoea kama ya akina Rage na Ndolanga ya marushwa rushwa hawezi kufiti tena kwenye Tff ya sasa ambayo haina upigaji.
Ukifungiwa na TFF huwezi rudishwa na mahakama za kiraia bali makama ya au CECAFA, au CAF, AU fifa wenyewe huyu Wambura asijifanye zuzu.
Mpuuzi kabisa huyo rais na bodi yake wameahindwa kishawishi hata kampuni kudhamini ligi kuuu wanaanza kudili na wambura waache ungese kabisaWambura chapa kazi.
TFF angalieni hizo hukumu za gaidi Mbwelezeni. Sheria kasomea nchi gani?
Naona huwa anakurupuka kila wakati. Atumie akili japo robo tu.