Makamu wa Rais TFF Michael Wambura aripoti ofisini kuanza kazi

Mpuuzi kabisa huyo rais na bodi yake wameahindwa kishawishi hata kampuni kudhamini ligi kuuu wanaanza kudili na wambura waache ungese kabisa...kama rais wa tff na kamati yake wqmevunja baadhi ya sheria ,kanuni na taratibu kwann wambura asiende mahakani kudai haki na ifafanuzi pia aliwatumia barua ya kuwataarifu lakin hawakujibu
 
Mamlaka hazimtaki.
 
Kwani hiyo hukumu imezungumzia mpira au utaratibu wa kumuadhibu kiongozi mwenye tuhuma za kukiuka maadili? Mahakama imesema utaratibu na uamuzi ni batili.
 
sasa wewe case ya rushwa utai proceed vipi FIFA!
Blatter FIFA ndiyo wali evastigate crime yake!
Wambura ana haki ya kupeleka case mahakaman sababu TFF haina haki, ipo corrupted haihitaji uprofesa kujua hili.
Waziri wa michezo naye hajitambua! hana maauzi, hakuna anachokifanya zaidi ya kuwa too political...
mwisho...just must seen 2 be done...
TFF kama mtu hamtaki mzilazimishe kumtafutia makosa mumg'oe, mwekeni kwenye kiroba mtupen baharin.
 
We ndio zuzu unaeishi kwa kukariri ivo visheria vya kingese vililetwa na fisadi blata
Mbona kama hizi comments ni za kwenye vijiwe vya kahawa au maskani ya walevu.Blatter ni Rais wa 8 wa fifa na sheria ilitungwa zamani kabla hata Blatter kujulikana.Fifa ni independent organ na Fifa ndiye anayetoa ruzuku Tff ili ijiendeshe ushawahi kusikia serikali inatoa ruzuku Tff? Ni Fifa inayoendesha Tff na vyama vyote.Tuweni na facts tunapotoa comment

Siku hizi hata muuza mihogo anasemea fani ya udaktari
 
Kilichomkuta Blatter kwani hiyo sheria haikuwepo? Au FBI wawajui kusoma walipowasulubu Blatter na wafuasi wake, kwani Marekani imewahi kutoa ruzuku FIFA?
 
sawa mkuu .
 
Kwa hiyo Wambura siyo corrupt?.Kama wewe unaufahamu mpira wa Tanzania huwezi kubali Wambura awe kiongozi.Wambura hana tofauti na akina Malinzi,Ndolanga,Rage,Abdalla Bulembo na makundi yao.Taja jambo moja tu linalokufanya uamini Walace Karia ni corrupt au amelea corruption
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…