Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Siwezi muita mtu Dr. wakati kashindwa kusimamia suala dogo tu la mifuko ya Plastiki... ni Dr. Seleman Jafo (PhD) na sio Seleman Jafo kuwa na adabu kijana.
Alafu huyu Jaffo anaenda kununua PhD Udom badala afanye kazi zenye kuleta impactZimetudi mikoa kibao bado wanatumia
Tupe ushahidi! Acha kubwabwajaIle mifuko ni dili la wenye nchi na wenye nchi wamerudi kazini kwaio sahau kuondolewa iyo mifuko.
Hivi nani alisikiliza presentation ya Jafo ya miaka 60 ya Uhuru performance ya wizara .yaani unaona kabisa hapa hakuna kitu . Anaulizwa swali majibu ya jumla jumla .hawa watu wanakula pesa zetu za bure hawana loloteAlafu huyu Jaffo anaenda kununua PhD Udom badala afanye kazi zenye kuleta impact
Kwa hiyo hao wauza chips Wana viwanda vya kutengeneza hiyo mifuko? Acha ujingaTupe ushahidi! Acha kubwabwaja
Mwenye nchi sasa ndo aliyesimamia kuondolewa kwa iyo mifuko sasa mantiki ya hoja yako iko wapi?
Watasema wananunua wapiKwa hiyo hao wauza chips Wana viwanda vya kutengeneza hiyo mifuko? Acha ujinga
Si umeambiwa hapo wanaponunua?Watasema wananunua wapi
Je huyo Jafo ndio amewatangazia rasmi yatumie hiyo mifuko ya plastic au yeye aliichukua na kwenda kuwapa hiyo mifuko?Ofisi ya Makamu wa Rais ndo inashughulikia Mazingira.
Baada ya Mifuko ya Plastik kuweza kuondolewa pale Mama Samia alipokuwa Makamu wa Rais Naona sasa Waziri wako Jaffo anataka kuichafua Ofisi yako
Nimetembelea Dar na Dodoma Naona kwenye vipanda vya chips wameanza kufungia mifuko ya plastiki.
Kabla halijafika kwa Mama Samia naomba ufanye ziara ukimaliza likizo yako Kwa Dodoma au Dar tu alafu fanya maamuzi ya kumshauri Rais juu ya huyu Suleiman Jaffo. Naona kazi imemshinda.
Niwatakie heri ya sikukuu ya Noeli.