TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

TANZIA Makamu wa Rais wa Gambia afariki dunia nchini India

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
gmaa.jpg
Makamu wa Rais wa Gambia, Badara Joof, amefariki dunia.

Alifariki baada ya kuugua kwa muda mfupi, kulingana na tweet ya Rais wa Gambia, Adama Barrow.

“Ndugu zangu wa #Gambia, ni kwa moyo mzito, ninatangaza kufariki kwa #Makamu wangu wa Rais, Mheshimiwa Badara Alieu Joof. Tukio hilo la kusikitisha limetokea nchini India baada ya kuugua kwa muda mfupi. Mwenyezi Mungu amjaalie Jannahtul Firdawsi,” Rais Barrow alitweet.

Kabla ya kushika wadhifa wa makamu wa rais, Bw Joof aliwahi kuwa Waziri wa Elimu ya Juu, Utafiti, Sayansi na Teknolojia kuanzia 2017 hadi 2022.

================

The Gambia Vice President, Badara Alieu Joof is dead.


This announcement was made by the president, Adama Barrow who said he died after short illness in India.


He took to his twitter page to make the announcement to the people of Gambia while expressing how sad the death of Badara Alieu Joof.
 
Back
Top Bottom