Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Huyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeniBora mola angembadili huyu akachukua nafasi ya Ginimbi!
Mama ana tabia za ovyo..usione linarembua hivyo macho..hafaiii..Huyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeni
Hata mimi nimemchukia sana huyu mama kalewa Pombe mapema sana. Kauli mbili, kwanza kwamba wauaji wa serikali huwa hawakosei , pili kwamba hata mpinzani akishida uchaguzi hawezi kutangazwa. sijui ameanza kutumia pombe ganiHuyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeni
Ila malipo ni hapahapaMama ana tabia za ovyo..usione linarembua hivyo macho..hafaiii..
Muulize Uchebe.
Bora mola angembadili huyu akachukua nafasi ya Ginimbi!
Mchukie na ponda aliyesema waislam wote wamekubaliana kumpigia kura zote tundu Lissu na keshashindwa anasubiri kuapishwa tuu, Sasa mchukie ponda kwanini Lissu hajaapishwa Hadi leo?Huyu makamo nimetokea kumchukia sana tangu atoe ile kauli yake kwenye campeni
Toka Kanisa Katoliki lianze kuwajengea Waislamu misikiti, mama ametumia pombe ya boss wake miaka 5 sasa amelewa chakari anapayuka hovyo. Mama alianza vizuri lakini sasa ni la kutupwa!Hata mimi nimemchukia sana huyu mama kalewa Pombe mapema sana. Kauli mbili, kwanza kwamba wauaji wa serikali huwa hawakosei , pili kwamba hata mpinzani akishida uchaguzi hawezi kutangazwa. sijui ameanza kutumia pombe gani