Makamu wa Rais wa USA hajawahi kufika Ulaya

Makamu wa Rais wa USA hajawahi kufika Ulaya

Taso

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2010
Posts
2,507
Reaction score
2,412

Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais.

Hajawahi kufika Ulaya.
Hakawahi kufika bara la Australia
Hajawahi kufika Africa
Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu

Viongozi wa Tanzania tunaomba msirudi kwenye enzi zile za kupenda ma junket trips ambayo yanayoumiza walipa kodi.
 
Ana deliver? Sio kujisifia kusafiri au kutosafiri tu huku wananchi wanapiga miayo
 
Maisha haya si ya kupangiana namna ya kutafuta fursa za kimaendeleo jamani, mwacheni Mama yetu aendelee kuupiga mwingi ili sisi watoto wake tuneemeke.

"Au nasema uwongo ndugu zangu...[emoji848]"

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Mjomba aliamua kukaa zake Bongo hapa safari ndefu ni kwenda Chato.

Wananzengo wakasema mara hajui lugha ya wenzetu
Hao ni vibaka tu walikua wanamponda Magu bila hoja.

Kunua kingereza ndio nini?

Nilikua nikisikia wajinga wanadema eti Magu hajui kingereza nawaona hawana akili kabisa.

Kiongozi wa nchi, timu ya watafsiri imejaa kila mahala halafu apate shida ya kingereza?
 
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais.

Hajawahi kufika Ulaya.
Hakawahi kufika bara la Australia
Hajawahi kufika Africa
Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu

Viongozi wa Tanzania tunaomba msirudi kwenye enzi zile za kupenda ma junket trips ambayo yanayoumiza walipa kodi.

Kuna msemo unasema Americans think the world starts and ends in America.
Nilisikia kuwa Wamarekani wengi hawajui mambo mengi yanayoendelea nje ya taifa lao yani nchi nyingine
 
Back
Top Bottom