Hao ni vibaka tu walikua wanamponda Magu bila hoja.Mjomba aliamua kukaa zake Bongo hapa safari ndefu ni kwenda Chato.
Wananzengo wakasema mara hajui lugha ya wenzetu
Huyo fisi ni afya tu ndio ilikuwa inamzuiaMjomba aliamua kukaa zake Bongo hapa safari ndefu ni kwenda Chato.
Wananzengo wakasema mara hajui lugha ya wenzetu
Welazima utakuwa na bichwa kubwa, alafu ulikuwa na cheti feki.Huyo fisi ni afya tu ndio ilikuwa inamzuia
Kuna msemo unasema Americans think the world starts and ends in America.
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris hajawahi kushobokea masafari ya nje akiwa raia, mbunge, na makamu wa Rais.
Hajawahi kufika Ulaya.
Hakawahi kufika bara la Australia
Hajawahi kufika Africa
Amefika South America kwa mara ya kwanza mwezi wa 6 mwaka huu
Viongozi wa Tanzania tunaomba msirudi kwenye enzi zile za kupenda ma junket trips ambayo yanayoumiza walipa kodi.