Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
HUYU JAmAA ANAYEJIITA MAKAMUZI ALIWAHI KUNIWEKEA THREAD NIPIGWE BAN ,NDIPO HAPO TUKAINGIA KWENYE UGOMVI ULIOCHUKUA MIEZI SITA ,KWA SASA HUYU MAKAMUZI NI RAFIKI YANGU KWA SABABU AMENIOMBA MSAMAHA KWA KUONANA USOKWA USO NA MIMI NA KUNIPIGIA MAGOTI ,UGOMVI UMEISHAAAAA NA MAKAMUZI
Ha ha ha....umenifurahisha.
Mwanaume utamwombaje mwanaume mwenzako msamaha makamuzi ni kweli hayo
kweli dogo msameheane na muache utotomkuu acha uchonanishi
Mwanaume utamwombaje mwanaume mwenzako msamaha makamuzi ni kweli hayo
wanatupigia kelele mara ooh nimemsamehe sasa anatuambia sisi ili iwejenyie watoto kama mmeshashiba mkalale, muwaache watu wazima wazungumze/
pamoja sana mkamuaji mimi mpigamsuli nipo moyo mweupe sina bifu nawe mentali
Well said Eliatatizo wapi mkuu?? utakufa na tai shingoni ooohooo!
HUYU JAmAA ANAYEJIITA MAKAMUZI ALIWAHI KUNIWEKEA THREAD NIPIGWE BAN ,NDIPO HAPO TUKAINGIA KWENYE UGOMVI ULIOCHUKUA MIEZI SITA ,KWA SASA HUYU MAKAMUZI NI RAFIKI YANGU KWA SABABU AMENIOMBA MSAMAHA KWA KUONANA USOKWA USO NA MIMI NA KUNIPIGIA MAGOTI ,UGOMVI UMEISHAAAAA NA MAKAMUZI
Mwanaume utamwombaje mwanaume mwenzako msamaha makamuzi ni kweli hayo
wanatupigia kelele mara ooh nimemsamehe sasa anatuambia sisi ili iweje
pamoja sana mkamuaji mimi mpigamsuli nipo moyo mweupe sina bifu nawe mentali
Acha hizo swaga..w hv not seen each other...bt we use to text each other...
nipha hajambo
Huyu mwanangu huyu!! Hajambo anaendelea vizuri sana. Ana afya njema. Nipha ni usingizi wa baba yake utafikiri yeye ndio first born.
karibu sana jf , , mleeni vizur nipha awe na busara kama baba(thanda) yake na mama yake (thando)