Makanisa, misikiti, halmashauri ziweke utaratibu wa kukusanya nguo zisizotumika kutoka kwa raia

Makanisa, misikiti, halmashauri ziweke utaratibu wa kukusanya nguo zisizotumika kutoka kwa raia

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
7,427
Reaction score
10,905
Ili ziwekewe utaratibu maalum wa kufuliwa na kupelekwa kwa wenye uhitaji. utafiti wangu mdogo usio rasmi umebaini kwamba watu wengi hasa wenye kipato maeneo kama ya mijini hapa Tanzania wanaishi na nguo,viatu kandambili, madela, vikoi, vidani, nakadhalika ambavyo hawavitumii.

Aidha vitu hivi vimekuwa sababu ya mkusanyiko wa panya na kunguni kwenye majumba yao tatizo si kwamba hawataki kuvigawa ila wanakosa mahala pa kuvipeleka kwani ni makanisa machache sana au misikiti michache sana yenye utaratibu wa kukusanya viwalo visivyotumika.

kwa kufanya hivi tunaweza kusaidia watu wenye kipato duni hasa vijijini na mijini na kupunguza tatizo la utegemezi.
 
Hoja/ pendekezo/ maoni/ ushauri/ hoja inaungwa mkono
 
Back
Top Bottom