Makanisa yamekuwa mengi sana siku hizi

Centepede

Member
Joined
Feb 13, 2016
Posts
42
Reaction score
22
Wandugu Siku hizi naona kila baada ya nyumba kumi kusa kanisa, ama kila mtaa unakuta makasina hayapungui matatu.. sasa kuna hilo jipya liko mtaani kwangu yani vinguo vinavovaliwa ni balaa ivi ni kumtukuza Mungu Tu. ama kuna nyuma ya pazia kwene makanisa haya

NB Dar kuna makanisa madogo madogo si chini ya 250
 
Wewe ulitaka madanguro yawe mengi.
 
Anzisha la kwako pia Acha kulalamika hovyo hovyo.
 
hyo picha ya gwajima yaani kama anatumbuliwa.na wapambe nao daaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…