Ata sisi tunajuana vizuri tu mambo ya faragha ya mtu yabaki kua faraghaUmetazama kwa upande mmoja. Kutambuana/ kufahamiana kwani ni kubaya. Kumpenda jirani yako ni pamoja na kumsalimia
Kwan unaambiwa kujitambulisha n lazima?Unakula zako neno unasepa bila kuambiwa ujitambulishe, kuulizwa umetokea wapi au una sali wapi ??
YeahWatu wanataka sadaka yako kwa hali na mali wataruhusuje uzurure zurure.