Ndugu watanzania wenzangu,
Natumaini mko salama.
Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Mimi ni mojawapo ya watu ambao hufuatilia sana siasa ya Marekani. Kwa hiyo ni ngumu sana kunidanya chochote kile kuhusu kinachoendelea huko Marekani. Katika generation hii ya dot com, ni vingumu sana kuwadanganya watu, maana tunatembea na dunia kiganjani. Mnamo tarehe 18 Oct. 2016 Makao makuu ya office ya chama cha Republican count ya Orange yalichomwa moto na watu wasiojulikana () (Local GOP office in North Carolina firebombed), lakini Tanzania hatukuingilia.
Sambamba na hilo, kinachoendelea saizi Marekani hakuna utofauti na nchi wanazoziita Authoritarian countries, yaani nchi zinazoendeshwa kidikteta. Level ya freedom of expression imeporomoka sana (). Kwa kusema hivyo, balozi wa Marekani HANA MORAL AUTHORITY YA KUINGILIA UCHAGUZI WETU. Tanzania ni nchi huru na watuachie kama tulivyopambana kwenye korona. Kama bibilia inavyosema "Ewe mnafiki, ondoa boriti ndani ya jicho lako kwanza, ndipo utaweza kuona dhahiri jinsi ya kuondoa kibanzi kilicho ndani ya jicho la ndugu yako" (Mathayo, 7:5).
Kuna uzi niliuleta kwenye jukwaa hili, click this link: Uchaguzi 2020 - Kuna uwezekano wa nchi hizi zikatumika katika kudukua Mfumo wa Uchaguzi. Intel za Serikali kuweni macho, nilidokeza kidogo kuhusu ujio wa balozi huyu katika kipindi hiki cha uchaguzi. Kwa kusema hivyo, yanaanza kutimia taratibu ndungu zangu. Unajua kuna watu wengine Mungu katujalia kuona mambo kwa upana sana, kwa hiyo ninachokiona kwa sasa, ndicho kile ambacho my instinct ilikuwa inanishuhudia.
Nani ajuaye kama kuchomwa kwa office ya kanda ya kasikazini kama ni mpango tu? Kama watu wanaweza kujiteka na kusingizia serikali (), kwenye kuchoma inashindikana kweli? Katika harakati za kumpindua Fidel Castro, Marekani waliilipua meli yao kule Guantanamo bay, ila wakamsingizia Castrol. Ndugu zangu, jamaa hawa hawa, walisema Libya inaendeshwa kidikteta, wakatengeneza mambo kwa kuwaandaa vibaraka wao, na hatimaye wakafanikiwa kumuondoa Gadafi, lakini saizi kinachotekea kule ni majanga, Libya is currently a failed state (Libya as a Failed State:). Ni wakati sasa wa kumuuliza balozi wa Marekan, yaliyotokea Libya unayajua? Je, hiyo ndiyo democracy mliyokuwa mnaitaka?.
Ukiusoma uzi wangu hapo, utaona kuna mahali nimemuongelea Mh. Tundu Lissu, ni kama ameandaliwa vile, maana hata kauli zake tangu aje, zina ukakasi sana: 1) Safari hii hakuna kumuachia Mungu; 2) Nikishindwa watu nitawaamuru waingie barabarani i.e. Hizi ni dalili mbaya sana kwa mustakabali wa amani ya nchi yetu.
Kwa vile Mh. Tundu Lissu ni kama ameandaliwa vile, sambamba na matamko haya ya balozi wa Marekani, ninavyoona tutegemee mambo yafuatayo:
Hii ndiyo njia pekee watanzania wenzangu tuitumieni kupambana na hizi ajenda za siri. Niwakumbushe jambo moja tu, tangu Tanzania ianze kufanya chaguzi kama hizi, ni kwa mara ya kwanza Tanzania haijaomba msaada wowote kutoka kwenye mataifa ya nje, zaidi ya bilioni miatatu na kitu zimetolewa na serikali, yaani serikali imegharamia uchaguzi wote kwa 100%. Mh. Raisi ni lulu ya taifa letu, kuwa na kiongozi kama huyu, mwenye maono makubwa na nia ya dhati kabisa ya kujenga uchumi katika taifa, ni adimu sana kuwapata,
WE SHOULD, THEREFORE, PROTECT HIM BY ALL MEANS AGAINST INTERNAL AND EXTERNAL ENEMIES, AND PRAYERS WORTH PAYING ATTENTION.
Asante sana,
Nawasilisha,
Kejuu

- Hata kama Mh. Magufuli atashinda uchaguzi huu, Mh. Tundu Lissu hatakubali.
- Ubalozi wa Marekani hawatakubali pia, na kwa dalili hizi, yawezekana kuna deal done tayari.