Tetesi: Makao makuu ya EU kuhamia Kenya

Kwa hiyo wanataka kutoka Brussels kuja Nairobi! Maajabu yapo duniani. Nairobi kuna kipi haswa kilichowavutia hambacho hakipo Brussels?
Hahaha hata wayahudi walitaka kuhamia Uganda mkuu. Kungekuwa na kanchi cha weupe katikati ya weusi.
 
Wahamie hata Darfur ni uamuzi wao.
 

Ahaaa haaa haaa
bro usinishambulie BINAFSI. mimi nimejaribu tu kuuliza tu swali. lkn bado hujanijibu, umeendelea tu kutoa hisia ZAKO na vitisho.
 
Hivi hali ya hewa ya Dar ni nzuri kuliko ya Dodoma..!
 
Hivi hali ya hewa ya Dar ni nzuri kuliko ya Dodoma..!

Sasa wazungu hawakutak dodoma na hali yao labda ww kunakufaa wao washaangalia vitu kibao wameona hakuna maana wameanza kurud kwao
 
Wazungu wanaipenda Kenya Kwa sababu wanasujudiwa huko Nairobi wanadhani tutakubali upuuzi wa EPA waondoke tu hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…