hiyo ni sehemu ya akili ndogo kuongoza akili kubwa, 7+7=15Sababu yako haina mashiko.
Kisa mkoloni alidhamiria hilo ndipo tucopy? je bado Mpanda na Kahama ziko Tabora hadi leo?
Unaposema Tabora iko 'strategically located' unamaanisha nini?
Ndugu wAna bodi, Baada ya Tume ya Marekebisho ya Katiba kuja na pendekezo la Serikali Tatu, kuna mambo ya kuyatolea maamuzi, ikiwemo makao Makuu ya TANGANYIKA. Napendekeza Tabora, KWA nini? TANGANYIKA ilianza wakati wa Ukoloni wa Mjerumani, Mjerumani alidhamiria Tabora KUWA Makao Makuu ya TANGANYIKA , akaufanya Mkoa Mkubwa, Mpanda na Kahama zilikuwa ni Sehemu ya Tabora, na moja ya sababu ya kuichagua Tabora ni KUWA ki nchi iko strategically located.
nawasilisha
Kwa hiyo unataka mikoa yote iwe makao makuu?Kaka hoja yako ni nyepesi na haina tija., Historia ya nchi hii imebebwa na mikoa mingi sana, kila mkoa umechangia kwa sehemu kuifanya Tanganyika kuwa hivi ilivyo leo, na si tabora peke yake.
Ubishi mwingine hauna mashiko,ni kweli manyoni ni katikati ya Tanganyika!Ha ha haaa kuna wakati CHILIGATI kama sikosei yeye na wananchi wake walidai eneo moja huko Manyoni ni Katikati ya Tanzania (kisa) kuna wazungu waliweka Beacon tu LOL!
Kabla hatujapendekeza mkoa mwingine kuwa makao makuu ya nchi, tujiulize swali, kwani wale waliopendekeza Dodoma kuwa makao makuu walikuwa na sababu zipi? Lakini pia kueleza 7bu ya Tanga kuwa na historia nzito na Nyeti haina tija kwakuwa ni mikoa mingi yenye historia nyeti na existence ya Tanganyika + Tanzania. Dodoma ibaki kuwa makao makuu ya nchi yetu.
Ubishi mwingine hauna mashiko,ni kweli manyoni ni katikati ya Tanganyika!