comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Nataka niende hukohuko labda tutaelewana vizuri, tokea jumatatu nilituma milioni 3 na laki 2 kwenda account ya bank mpaka Leo haijafika, niliwapigia jumanne wakaniambia kuna shida ya mtandao muamala upo hewani nisubiri ndani ya masaa72 hela itarudi kwenye tigopesa na kama isiporudi itaenda kwenye akaunt ya bank nilipokua naituma, sasa masaa 72 yamepita na hela haijafika nilipokua naituma na kwangu haijarudi kwa maana hiyo muamala wa tigopesa bado unavinjari hewani kama mwewe!
Nimepiga sana 100 ndio hata huduma kwa wateja siwapati, nmepita kwenye page Yao Instagram naona kumbe sipo mwenyewe watu wengi wanadai hela zao tokea majuzi hazijarud na wala hazijaenda zilipokua zinatumwa, wengine nimeona wamepanic wanatukana matusi ya nguoni, wengine wanalalamika hela ilikua ya matibabu inakuaje muamala ukae hewani siku zote hizo?
Hivi kwanini kama mtandao unasumbua hela isingerudi siku ileile? Na kwanini wanakata kabisa Ada ya kutuma ilihali wanajua hela haitafika inapotumwa?
Mpaka asubuhi hela isiporud na isipofika nilipokua naituma nadhani kesho inabidi nikawachangamshe kidogo huko ofisini kwao!
Na yalivyo majinga yamepiga kimya hata kuomba radhi au kusema nini shida na vipi kuhusu miamala ya watu iliopotelea hewani.
Kama mtu unahela nying huwez kuweka bank basi Mpesa naona ndio sehemu Sahihi hawa wengine kama Tigo ni matapeli Tu wanakwamisha mipango ya watu