Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi yalikua Lushoto

Makao Mkuu ya Jeshi la Polisi yalikua Lushoto

Nali

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2010
Posts
1,155
Reaction score
812
Je, wajua, Jeshi la Polisi Tanzania lilipoanzishwa mwaka 1919, Makao Makuu ya Jeshi hilo yalikuwa Wilayani Lushoto, Tanga, hadi mwaka 1930 yalipohamishiwa Dar es Salaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wangebaki mlimani ili iwe rahisi kuwashughulikia Chadema wanaovunja sheria
 
So what?
FB_IMG_1589446037083.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kutujuza. Wakati huo jeshi la polisi bila shaka halikuwa linajihusisha na siasa. Pia halikuwa chini ya wizara kama leo. Lilikuwa kwa lengo la kumwajibisha mtu mweusi ili asilete chokochoko wakati mjerumani akila mema ya Tanganyika.
 
Back
Top Bottom