Makapuku Chalii ,hawa ndio 10 bora kwa sasa.

Kwenye upande wa ubora 'makapuku' ni zaidi ya huo upupu mwingine!
Makapuku ilikuwa ya zamani. Ya sasa imekuwa hijacked na watu wachache na inaendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi. Ndiyo maana mazungumzo ni yale yale, watu wale wale, topiki zile zile. Ukienda huko mgeni utasota sana mpaka uwe accepted na kujiona mmoja wao. Na ukiwa na mawazo tofauti kidogo ndiyo kabisaa. Inavyoonekana nao wameingia katika mtego ule ule uliowafanya waanzishe Makapuku: Walikimbia kutengwa na kubaguliwa na wakongwe nao sasa wamekuwa mastaa wanabagua wageni wanaokwenda huko.

Kama wanataka Makapuku ya zamani irudi itabidi walegeze kamba kidogo na wakaribishe wageni wanaojaribu kujumuika nao; na waache kujiona mastaa kisa tu eti wana likes nyingi au sijui wanaandika post za kucopy na kupesti kutoka mtandaoni.

Uzi wa likes umechangamka kwa sababu watu ni wengi, topiki mchangayiko (everything goes) na hakuna kubaguana. Nao wakikiuka misingi hii, basi watadhoofu na kupuuzwa tu!
 
Kweli kabisa mkuu.

Uzi wa likes unampokea kila mtu,wanakuchangamkia kana kwamba ni mwenyeji.
 
Okay
 
[emoji23] [emoji322] [emoji23] [emoji23] [emoji323] [emoji322] [emoji323] hongera zao ni ubunifu mzuri sana, kwakuwa hata ukiweka NUKTA unapata likes za kumwaga, ni kama ule utajiri wa punje za mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23] [emoji322] [emoji23] [emoji23] [emoji323] [emoji322] [emoji323] hongera zao ni ubunifu mzuri sana, kwakuwa hata ukiweka NUKTA unapata likes za kumwaga, ni kama ule utajiri wa punje za mchele

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, haiwezekani kuwaroga? [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji115] [emoji124] [emoji124] [emoji124]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ukiwa na like nyingi ndiyo unakuwa mods eeh?
Like nyingi bila mchango wako kuonekana ni bure tuu.
Mimi huwa nikiandika kitu nikapewa like najisikia ndiyo bwana nimekosha baadhi ya mitima ya watu, sasa huko kupeana like kwa chochote duuh.
Ngoja nipambane na hali yangu
 
Kyndi la kina nyani ngabu usilifananishe na kundi la watoto hao ambao wamekuja tu na watapotea soon.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…