Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
kweli kabisa mkuu
Kwenye upande wa ubora 'makapuku' ni zaidi ya huo upupu mwingine!
Hakika mkuu wacha waendelee kula likes[emoji23] [emoji23] [emoji23] ugonjwa wa likes haujawahi kumuacha mtu salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam
Sawa kabisa
Kwa sasa kuna "wavamizi" kule Kapuku Forum.Makapuku ilikuwa ya zamani. Ya sasa imekuwa hijacked na watu wachache na inaendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi. Ndiyo maana mazungumzo ni yale yale, watu wale wale, topiki zile zile. Ukienda huko mgeni utasota sana mpaka uwe accepted na kujiona mmoja wao. Na ukiwa na mawazo tofauti kidogo ndiyo kabisaa. Inavyoonekana nao wameingia katika mtego ule ule uliowafanya waanzishe Makapuku: Walikimbia kutengwa na kubaguliwa na wakongwe nao sasa wamekuwa mastaa wanabagua wageni wanaokwenda huko.
Kama wanataka Makapuku ya zamani irudi itabidi walegeze kamba kidogo na wakaribishe wageni wa mastaa kisa tu eti wana likes nyingi au sijui wanaandika post za kucopy na kupesti kutoka mtandaoni.
Uzi wa likes umechangamka kwa sababu watu tu!
Jose??
Miaka ya nyuma kidogo ukiwa una angalia zile list za most likes ulikuwa unawaona wakongwe kama Nyani Ngabu,mshana jr,the boss ,rutashubanyuma nk lakini ujio wa Makapuku ukasafisha kabisa list hiyo ya wakongwe wakawa wanaongoza wao kwenye list ya most likes huku usukani ukishikiliwa na Bitoz akifatiwa na Jimena.
Utawala huu wa MAKAPUKU ulidumu muda mrefu sana mpaka pale member aitwae Jembekilo alipoanzisha thread yake ya kupeana likes .
Thread hii kwa kiasi kikubwa iliwasaidia wale wanyonge ambao wengi wao walikuwa hawajulikani humu jukwaani na walikuwa na likes chache sana.
Members kama Isis,Carbamezepine,Cole Williams,Mzee wa river kichwa kichafu ,usa river walikuwa hawajulikani kabisa humu jukwaani na walikuwa na likes ndogo sana zisizozidi hata elfu 5 lakini kupitia huu uzi wamefanikiwa kuvuna likes za kutosha takribani 100K+ na kuwabwaga mbali watani wao wa jadi makapuku .
Kwa sasa list ipo hivyo
1)Isis
2)Bitoz
3)Kichwa Kichafu
4)Shunie
5)Jimena
6)Shululu
7)Mzee wa Liver
8)Lee empire
9)Quigley
10)Rutashubanyuma
View attachment 552757
View attachment 552758
Mpaka sawa mchuano mkubwa unaendelea kati ya hawa watani wa jadi ili kunogesha zaidi Chit Chat Forum .
Na nyuzi zote mbili zina views 2millions na replies 200K+
Nina matumaini makubwa hawa members wa uzi maalum wa kupeana likes na wao hawataishia kupeana likes tu bali kugawana mgawanyo wa kazi ili kunogesha zaidi thread yao na mpaka sasa mwanadada numbisa amepewa kitengo cha kuleta picha zenye kustaajabisha na zisizotosha kuzitazama na tumai na wengine wanatafutiwa vitengo vyao vya kazi.
Pia nina imani kubwa hawataishia kupeana likes tu bali kujenga udugu wa kudumu na kusaidiana kwenye mambo mbalimbali kwenye maisha nje ya JF ,kualikana kwenye sherehe na kushiriki kikamilifu kwenye misiba .
Hongereni sana watani wa jadi.
Mkuu ila sijataja mtuKwa sasa kuna "wavamizi" kule Kapuku Forum.
Kipindi inaanza ilikuwa yenye tija tofautiana na "...kupeana likes.." ambapo upo moto kwa kupost nukta,namba na majina ya kata!
Bongee la Point hilo..Makapuku ilikuwa ya zamani. Ya sasa imekuwa hijacked na watu wachache na inaendeshwa kama kampuni ya mtu binafsi. Ndiyo maana mazungumzo ni yale yale, watu wale wale, topiki zile zile. Ukienda huko mgeni utasota sana mpaka uwe accepted na kujiona mmoja wao. Na ukiwa na mawazo tofauti kidogo ndiyo kabisaa. Inavyoonekana nao wameingia katika mtego ule ule uliowafanya waanzishe Makapuku: Walikimbia kutengwa na kubaguliwa na wakongwe nao sasa wamekuwa mastaa wanabagua wageni wanaokwenda huko.
Kama wanataka Makapuku ya zamani irudi itabidi walegeze kamba kidogo na wakaribishe wageni wanaojaribu kujumuika nao; na waache kujiona mastaa kisa tu eti wana likes nyingi au sijui wanaandika post za kucopy na kupesti kutoka mtandaoni.
Uzi wa likes umechangamka kwa sababu watu ni wengi, topiki mchangayiko (everything goes) na hakuna kubaguana. Nao wakikiuka misingi hii, basi watadhoofu na kupuuzwa tu!
Ni msichana.Huyu jamaa ISIS, muda wote utamkuta kwenye huo uzi, sishangai kupanda kwake, madhara ni kukosa muda wa kusoma nyuzi zenye mantiki zaidi.