Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,784
Wakongwe wanapumulia Oxygen saa hizi.Ngoja nikachungulie, ila point ni kwamba Makapuku tunafanya vizuri
MlegezoNimevaaje.....
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Radar yako mda mwingine haisomi vizuri, kuna kuna tulivamiwa na mkongwe Nyani Ngabu.Si unaona ni shwari kabisaa? Kila kitu kiko sawa radar zote ziko vizuri
KalalaWapii Th Name
duh hii itanipita hii, elimu yenyewe darasa la saba, hamna hata ya kubeba box mkuuHebu kwanza lete CV yako nijue nakupa kazi gani
Tumepumzika joto sanaThe Name yupo na Lizy huko maporini
Hatuchokiii,ongeza magenerator mengine ulete na pipa la diesel.Hamchokiii haya generator hilo mchaji simati zenu libeneke liendelee mpaka post 5000+View attachment 336851
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Wakongwe wanapumulia Oxygen saa hizi.
Kama hata elimu ya kubeba box huna ndo basi tena.duh hii itanipita hii, elimu yenyewe darasa la saba, hamna hata ya kubeba box mkuu
yaani mkuu weekend mbali sema fresh tuTutalijadili hill kwa siku maalumu tutapanga ila week end ndo vizuri
.......................................
Anaweza baki huku mkuu... Tumuajiri atubebee mi like yetu.. Au unasemajeKama hata elimu ya kubeba box huna ndo basi tena.
Kweli hapa mpaka kielewekeHatuchokiii,ongeza magenerator mengine ulete na pipa la diesel.
Labda ya kusukuma cherehani anayoKama hata elimu ya kubeba box huna ndo basi tena.
Huna mahudhurio mazuri jf, ila wewe sio KAPUKU.Bila shaka mimi ni kapuku!!!!
By sa moja itakua tayari au kumi na mbili jioniInabidi leo tufikishe 4k
We nenda tu,tutakuja kuosha vyombo.Habari za mchana wakuu. Hivi mnatambua kwamba ni lunch time
Dah,ila kusema kweli hili vuguvugu ni hatari.By sa moja itakua tayari au kumi na mbili jioni
duh kumbe hujanielewa, namaanisha hamna hata kazi ya kawaida tu sio ya kisoomi kivileKama hata elimu ya kubeba box huna ndo basi tena.
Ama kweli umenogewa... Ngoja nikuletee mihogo mibichi na Karanga za kuchemshaWe nenda tu,tutakuja kuosha vyombo.