Makapuku Forum

Naona watu mmeanzisha mapenzi huku mmesahau tuko kwenye harakati za kutafuta heshima kwa wakongwe kama mapenzi mkaweke post kulee
Humu ni mambo yote ya maisha hatuwezi kulalamika tu kuonewa kila siku...iwapo mtu akileta ishu muhimu itajadiliwa
Km una jambo LA maana anzisha mada
.....................................
 
Naona watu mmeanzisha mapenzi huku mmesahau tuko kwenye harakati za kutafuta heshima kwa wakongwe kama mapenzi mkaweke post kulee
Mjadala ulishafungwa toka jumapili tunasubiria majibu toka kwa mods, na tamko la makapuku liliwekwa kwenye uzi huu huu, kwasasa ni chit chat hivyo acha watu wajiachie.......... Life is too short to be anything but happy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…