Nimepata aisee, asante [emoji12] [emoji1]Hata mimi natumia simu. Nili update app ya JF
Haya banaMjadala ulishafungwa toka jumapili tunasubiria majibu toka kwa mods, na tamko la makapuku liliwekwa kwenye uzi huu huu, kwasasa ni chit chat hivyo acha watu wajiachie.......... Life is too short to be anything but happy
Mpatie basi anaogopa kukuomba [emoji5][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
kwa sababu wewe badala ya kukuomba unitumie mvinyo, unaweza ukanitumia yale majitu yako yanayo ugopesha kama haya [emoji48] [emoji83] [emoji89] [emoji84] [emoji88][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Karibu tena [emoji2] [emoji2]Nimepata aisee, asante [emoji12] [emoji1]
Weweeee[emoji54] [emoji54] ....... Muombe kwa upole sasakwa sababu wewe badala ya kukuomba unitumie mvinyo, unaweza ukanitumia yale majitu yako yanayo ugopesha kama haya [emoji48] [emoji83] [emoji89] [emoji84] [emoji88]
Hahhahahaaaa hapa nilipo nitaonekana mwehu kwa kucheka pekeyangukwa sababu wewe badala ya kukuomba unitumie mvinyo, unaweza ukanitumia yale majitu yako yanayo ugopesha kama haya [emoji48] [emoji83] [emoji89] [emoji84] [emoji88]
Mzee chombo hicho si ulisema yale mambo yako ya ulozi yanakupotezea watoto wazuri kaja mwenyewe cute b mshana jr upoooo[emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji87] [emoji173] [emoji173] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
upole gani, huyu hatabiriki tena kwa jinsi anavyonichukia.. nahisi huenda hata atakuwa ameshaniloga tayari muda huuWeweeee[emoji54] [emoji54] ....... Muombe kwa upole sasa
Unadhani ni kwa ufahamu wake?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mzee chombo hicho si ulisema yale mambo yako ya ulozi yanakupotezea watoto wazuri kaja mwenyewe cute b mshana jr upoooo
Poleee [emoji38] [emoji38] [emoji38]upole gani, huyu hatabiriki tena kwa jinsi anavyonichukia.. nahisi huenda hata atakuwa ameshaniloga tayari muda huu
[emoji27] [emoji29] [emoji27]
eti Nahrene kasema kuwa "unitumie huo mvinyo kwa njia ya kimazingara"Hahhahahaaaa hapa nilipo nitaonekana mwehu kwa kucheka pekeyangu
Kapuku yeyote aliye karibu na kigogo first Inn ani join
acha tuu, yani huyu jamaa ndo ninayemuogilopa hapa Jf nzima kuliko wotePoleee [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Kakuambia uendeeti Nahrene kasema kuwa "unitumie huo mvinyo kwa njia ya kimazingara"
Uoga wako tuacha tuu, yani huyu jamaa ndo ninayemuogilopa hapa Jf nzima kuliko wote
Andaa bilauri kisha vaa kaniki nyeusi tiii bila chochote ndani kaa kwenye pembe ya chumba shika bilauri kwa mikono yote miwili kisha fumba machoeti Nahrene kasema kuwa "unitumie huo mvinyo kwa njia ya kimazingara"
[emoji15] niende wapi?[emoji30] [emoji30]Kakuambia uende
Pamoja sanaaaNimetoa mwongozo kuepusha manenomaneno....nimeongeza kwenye post # 3 kwamba HAPA ni udaku,mapenzi,swaga,birthday,elimu,jokes,funny,michezo,news,politic,ushauri na kila kitu kuhusu life
MTU akizingua mwambieni akasome mwongozo kule post # 3
.............................................
Hahahaha..... Vigezo na masharti kuzingatiwaAndaa bilauri kisha vaa kaniki nyeusi tiii bila chochote ndani kaa kwenye pembe ya chumba shika bilauri kwa mikono yote miwili kisha fumba macho
[emoji15] niende wapi?[emoji30] [emoji30]