Makapuku Forum

Hii imetulia sana, shujaa ni yule anayeweza kutumia siraha au mbinu za adui kubadilisha mwelekeo. Hivyo kutumia jina la Kapuku ili kuwafunika au kuwafanya wanaojiita wakongwe dhalili ni sahihi. Pamoja na kuwa mimi ni wa zamani kidogo JF lakini najiunga Timu Kapuku Udhalilishaji na kujikweza mwiko.
 
Karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…