Babe wasikuumize kichwaa hao ndo wachawi kabisa wanatuvuruga tunavurugana...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nampenda hivyohivyo ila Lee hapana jamani auntie bwanah eti nilimuokota wapi
Namshukuru Mungu....anatenda miujizaNi kweli mkuu, vipi hali yako na uwapendao?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamganda tu...wewe nilikwambia patazibaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo ana mke kila mtaa.
Mimi baby wangu makaveli10 bwana.
Hakika.. nafurahi nikija jukwaani nakukuta na kina Shunie akee mnaendeleza jukwaa.Namshukuru Mungu....anatenda miujiza
Nakuonea huruma bora umkamatie huyo kijana akupunguze stress....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba?
Huyu mtu anavuta vitu vya ajabu, mwambie aache!
Nitatoboa tu ndugu yangu, kile kifaa ni drilling machine.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamganda tu...wewe nilikwambia patazibaa
Hakika mkuu, ni famili kubwa mnoo.Hili jukwaa ni familia
Hapo sawa kama utakubaliana na haliNitatoboa tu ndugu yangu, kile kifaa ni drilling machine.
🤣
Nipo tayari kwa hali yoyote.Hapo sawa kama utakubaliana na hali
Mtoe kibusha awe na adabu 🤣Mkuu tuheshimianeeee ....
Uzuri kashadondokea kwakooNipo tayari kwa hali yoyote.
Imeisha hiyo mzee mwenzangu, najua huwezi niharibia nduguyo...Uzuri kashadondokea kwakoo
Obe ujue ni ndugu yetu wa toka nitoke.. toka enzi ndala kasheba.Angekuwa binamu Obe Ingekula kwake ila kwako respect
Si nakupenda tu mimi😍😍😍Nipo hapa bebi wako, shuga sukari, utamu kolea..
🥰
Hunipendi pekee yako, nami nakupend pia.🥰Si nakupenda tu mimi😍😍😍
Unastahili maombi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamganda tu...wewe nilikwambia patazibaa