Tatizo kila kitu kizuri anataka...ila kuna kabinti kamemteka hajielewiiiObe ujue ni ndugu yetu wa toka nitoke.. toka enzi ndala kasheba.
Shukuru umepata babeUnastahili maombi.
Lini nilikosa?Shukuru umepata babe
Hivi una wazazi kweli?Yuko hapa kalala ....part 3 inafata soon
Alafu mida hii uko unafanya nini ata kama kunguni zinapiga route...babez wanabembelezwa...usinambie unaangalia mpira 🤣🤣🤣Lini nilikosa?
Unataka unipe wengine auHivi una wazazi kweli?
Hiyo ndio shida ya ndugu yetu, tumvumilie tu.Tatizo kila kitu kizuri anataka...ila kuna kabinti kamemteka hajielewiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hili la tangu tanu unasema jipya!! Limeshajifia wako wanajikongoja[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uzalendo kwanza.Alafu mida hii uko unafanya nini ata kama kunguni zinapiga route...babez wanabembelezwa...usinambie unaangalia mpira 🤣🤣🤣
Nani akutake!!Unataka unipe wengine au
Upwekee tu kikuuUzalendo kwanza.
....marashi ya Pemba, vijana hawaelewi.Obe ujue ni ndugu yetu wa toka nitoke.. toka enzi ndala kasheba.
Sasa binamu mimi nikipata amani na shangazi yako roho inauma ?Anko hapa ndiyo unakoseaga, ningekuita hapa Eco Beach jana lakini umechelewa leo niko Talatala nimemaliza kuwaangalia Taifa Stars.
Husna anakusalimia sana, hajakusahau
Kikuu kichwa chako kinawazaga mapenzi tu eti!!!Upwekee tu
Nikifanya mapenziKikuu kichwa chako kinawazaga mapenzi tu eti!!!
Haya usiku wa manane ulikuwa haujalala mr mapenzi ukifanya nini?
Kwamba kichwa chako na cha baby wako mpo sawa [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwamba?
Huyu mtu anavuta vitu vya ajabu, mwambie aache!