Poyeee jamani PShunie punguza basi kidogo hizo ma PDA unanitesa sana ujue basi tu nashindwa cha kufanya kwakuwa niko nyuma ya keyboard. Ila ilaa yote ni maisha we endelea kuutesa wangu moyo uliozama kisawasawa kwenye kina cha chini cha moyo wako. Nakuomba unihurumie tuu. [emoji3064][emoji20][emoji22]
Ndio mapenzi auntie sina jinsiSi unaamuaga tu kutuchafulia ukoo[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimecheka sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nyuma ya hiyo yupo kikuu og mwenyewe bwana lee.
Atajua hajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Acha maneno, nipe hela.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mengine ya siri za chumbani hazikuhusu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni mimi lakini ukinivuruga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kwani nani huwa anamblock mwenzake?
Unayafanyia jf?Nikifanya mapenzi
Makapuku oyeee maka akee nimefurahi kukuona humu upendo ndio kitu tunajuaMakapuku ndio SISI, wengine woote MAFISI.
Hii thread ni zaidi ya days of our lives, haikufi leo wala mtondogoo, kila kukicha makapuku wapya wanazaliwa wanatetea chama.
Hongereni sana wazee.
makapuku oyeee...
Eti ndio wewe [emoji1787][emoji1787]Huyo ndo babe wake au?
Baby wangu kafanyaje sasa?Kwamba kichwa chako na cha baby wako mpo sawa [emoji1787]
Kikubwa tunapendana [emoji1787]Babe wasikuumize kichwaa hao ndo wachawi kabisa wanatuvuruga tunavurugana...
Bado anko hajaja
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unamganda tu...wewe nilikwambia patazibaa
Kwahiyo nawe kapuku? Mie akuuu!Makapuku ndio SISI, wengine woote MAFISI.
Hii thread ni zaidi ya days of our lives, haikufi leo wala mtondogoo, kila kukicha makapuku wapya wanazaliwa wanatetea chama.
Hongereni sana wazee.
makapuku oyeee...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nakuonea huruma bora umkamatie huyo kijana akupunguze stress....
Hayo sio mapenzi, ni ujinga.Ndio mapenzi auntie sina jinsi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hili ni jina tu mkuuEnzi zangu nilikua siwaelew mnaoshinda uku ila nmetoka kula loss ambayo inanianzishia safari mpya ya maisha
Anyway niache porojo, nipeni mwongozo wa kujisajiri kuwa member wa kudum hum
Nyieee auntie yangu kapendaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Si nakupenda tu mimi[emoji7][emoji7][emoji7]
Anataka nifanye kazi ya bure bure eti!!Atajua hajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nashukuru mungu, nami niko vizuri shunie akeeTunaendelea vizuri maka akee sijui wewe