Alooooh [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hunipendi pekee yako, nami nakupend pia.[emoji3059]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Baby aliniambia nikuombe hela nimtumie nauli aje mjiniYuko hapa kalala ....part 3 inafata soon
Sio kapuku wa mtonyo.. 🤣Kwahiyo nawe kapuku? Mie akuuu!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi mlikeshaAlafu mida hii uko unafanya nini ata kama kunguni zinapiga route...babez wanabembelezwa...usinambie unaangalia mpira [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa nini?Sio kapuku wa mtonyo.. 🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nikifanya mapenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaendana bwana na pokerBaby wangu kafanyaje sasa?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakunaga mwendo ni nipe nikupeAnataka nifanye kazi ya bure bure eti!!
Nafurahi kusikia hivyo maka akeeNashukuru mungu, nami niko vizuri shunie akee
Wewe si ndio okota okota🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaendana bwana na poker
Na vitenge vya kutosha. Lasivyo litamkuta jambo😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hakunaga mwendo ni nipe nikupe
Soma mwanzo wa uzi huu, utajua. 🤣Wa nini?
Upendo wetu udumu shunie akee..Makapuku oyeee maka akee nimefurahi kukuona humu upendo ndio kitu tunajua
Enzi za mokili mobimba, tumbwisa, tumbwisa......marashi ya Pemba, vijana hawaelewi.
Anko wangu kwa kuniharibia hajambo, ila na wewe uwe unanipa sifa nzuri kule kaskazini mwa nchi
🤣🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ni mimi lakini ukinivuruga
🤣🤣🤣🤣🤣Eti ndio wewe [emoji1787][emoji1787]
Labda yeye[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Hivi mlikesha
Oya mzee mwenzangu, baelezee husna nimemmisi saanaAnko hapa ndiyo unakoseaga, ningekuita hapa Eco Beach jana lakini umechelewa leo niko Talatala nimemaliza kuwaangalia Taifa Stars.
Husna anakusalimia sana, hajakusahau
Ila jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini🙆🙆🙆🙆Soma mwanzo wa uzi huu, utajua. 🤣